Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

Wame-mention majina yao hao maana hata muda wa kuwasikiliza sina?

Unazungumzia mpemba Mbagala?ninao Mbezi huku wenye ndevu kama za huyo mvamia nyumba za watu za ibada ushangae mpemba kuonekana Mbagala?
Kwa hiyo mashoga wa Zanzibar ni wapemba na wa Dar es salaam ni wapemba?

Kama huna muda wa kuwasikikiza basi pita hivi maana wewe ni mbishi tu

Nimewaambia mniletee data zinazosema Zanzibar Kuna ushoga sana, mmeshindwa
 
Mbona ninakotoka mimi kuna msikiti ambao waumini hawafiki 12 lakini upo tangu nazaliwa hadi leo nazeeka na haujawahi kufanyiwa hujuma yoyote?

Ninyi mnahisi mna uspesho gani hadi wengine wasiwe na haki kama nyie?shida yenu kubwa akili kisoda.
Unakotoka hakuna jina ebu pataje ni wapi huko hakuna Waislamu.
Lakini huko Zanzibar hakuna Mzanzibar mkatoliki afadhali Anglikana wana waumini kidogo ndiyo wale kina Charles Hillary,Marehemu David Wakati na kina Jaji Augostino Ramadhani na wengine wachache lakini makanisa mengine wanaforce tu sasa matokeo yake watu wanatoka Tanganyika kila jumapili kwenda kusali Unguja.
 
Kama kawaida yenu mkifumwa mnakimbilia matusi.

Huo muonekano wa huyo mkurayishi hapo unamuona huyo ni Mkristo?usikimbilie matusi hata mimi nayajua ni vile tu tumelelewa tofauti na ningeweza kuyatumia ila hekima yangu iko mbele.
Ukichaa ni tusi
 
Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi.

Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi.

===
Zanzibar
Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini Zanzibar na kufanya uharibifu wa mali kwa kushambulia sanamu zilizopo kanisani.

Baada ya kufanya uharibifu huo alikamatwa na kukaguliwa begi lake kukutwa vitambulsho ikiwemo cha Taasisi ya Kupambana na Rushwa Zanzibar Anti-Corruption and Economic Crimes Authority (ZAECA) . Alikuwa anapiga kelele amerogwa na kuonesha kama ana matatizo ya akili.

View attachment 2907034View attachment 2907035View attachment 2907036
Labda katupiwa majini
 
Wame-mention majina yao hao maana hata muda wa kuwasikiliza sina?

Unazungumzia mpemba Mbagala?ninao Mbezi huku wenye ndevu kama za huyo mvamia nyumba za watu za ibada ushangae mpemba kuonekana Mbagala?

Tunakaa kuleta umbea kuwa Zanzibar Kuna mashoga wengi bila data

Ok, mkoa ni mdogo kuliko nchi

Tuangalie nchi zinazoongoza na zilizopitisha Sheria ya kulana tigo wanaume ni za kiislamu au ?

Halafu tukitoka hapo tutarudi Kwa papa😂😂😂
 
Sijawahi sikia Muumini wa Romani Catholic kaingia msikitini na kuleta kufuru yoyote kwanini hawa watu wanachokoza sana Wakristo hasa Waromani, mpaka kuanzia ubatizo wangu mpaka sasa sijawahi sikia kiongozi wowote wa Imani yangu akihuburi kanisa kwamba tuwachukie Waislamu au tuwaite Makafiri kwanini wao wanajiona bora sana kushambulia Dini za watu.

Wameenda mbali wanamwita Kichaa yani kichaa atoke kwake na Nyundo moja kwa moja mpaka kanisani kwanini asingeenda Bar kupiga walevi.

Ushauri huu uvumilivu una mwisho angalieni sana mwisho wa uvumilivu huu usiwe chanzo cha uvunjaji wa Amani nchini mwetu.

Endeleeeni
Screenshot_20240217-212209.jpg
 
Zanzibar Kuna vituko ushoga,usagaji yaani
Kuna club moja niliendaga mitaa ya mbweni (Zanzibar)aisee nikakuta mashoga wanasherehe yao wameunganisha meza kama sita hivi. Sikuamini nilichokua nakiona,niliondoka hata bia sikumaliza
 
Kwa hiyo mashoga wa Zanzibar ni wapemba na wa Dar es salaam ni wapemba?

Kama huna muda wa kuwasikikiza basi pita hivi maana wewe ni mbishi tu

Nimewaambia mniletee data zinazosema Zanzibar Kuna ushoga sana, mmeshindwa
🚮🚮🚮
 
Halafu akipelekwa jela wataibuka watu wakisema anaonewa " shehe wetu" kama wale waliokuwa wanawamwagia watu tindikali waluonekana wanaonewa lakini kwa matamko yao wameshaua watu na kufanya watu vilema.
 
IBRAHIM alivunja masanamu.kwenye madhabahu ya baba ake ni sawa lakini huyu mzanzibari kwenda kuvunja masanamu kwenye "nyumba ya Mungu" mnaona sio sawa.
Mungu yupi?
 
Unakotoka hakuna jina ebu pataje ni wapi huko hakuna Waislamu.
Lakini huko Zanzibar hakuna Mzanzibar mkatoliki afadhali Anglikana wana waumini kidogo ndiyo wale kina Charles Hillary,Marehemu David Wakati na kina Jaji Augostino Ramadhani na wengine wachache lakini makanisa mengine wanaforce tu sasa matokeo yake watu wanatoka Tanganyika kila jumapili kwenda kusali Unguja.
Hata kama hakuna muumini mpemba kinawashinda nini kuyaacha?acha kutetea ujinga!!!

Yanakuumizeni kitu gani?hivi wewe inakuingia akilini wewe ujenge nyumba yako kwenye kiwanja chako na kwa hela zako halafu mimi from no where nije kukuvunjia?unaniona nikiwa na akili timamu hapo?
 
IBRAHIM alivunja masanamu.kwenye madhabahu ya baba ake ni sawa lakini huyu mzanzibari kwenda kuvunja masanamu kwenye "nyumba ya Mungu" mnaona sio sawa.
Cha ujinga, mnajitoa akilitu, mbona hamvunji mwezi na nyota amazili sio sanamu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hata kama hakuna muumini mpemba kinawashinda nini kuyaacha?acha kutetea ujinga!!!

Yanakuumizeni kitu gani?hivi wewe inakuingia akilini wewe ujenge nyumba yako kwenye kiwanja chako na kwa hela zako halafu mimi from no where nije kukuvunjia?unaniona nikiwa na akili timamu hapo?
Sasa kule kwenu! Kwenu Tanganyika ndiyo maana wenye nchi yao hawawataki wanaona mnawaletea gozi gozi tu.
 
Back
Top Bottom