Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwa muonekano tu wa nje anaonekana wazi ni Al Shabaab. Ashukuru Wakatoliki siyo watu wa shari.Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi.
Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi.
===
Zanzibar
Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini Zanzibar na kufanya uharibifu wa mali kwa kushambulia sanamu zilizopo kanisani.
Baada ya kufanya uharibifu huo alikamatwa na kukaguliwa begi lake kukutwa vitambulsho ikiwemo cha Taasisi ya Kupambana na Rushwa Zanzibar Anti-Corruption and Economic Crimes Authority (ZAECA) . Alikuwa anapiga kelele amerogwa na kuonesha kama ana matatizo ya akili.
View attachment 2907034View attachment 2907035View attachment 2907036
Ingekuwa ni Mkatoliki ndiyo kaenda kuyaondoa yale mavipaza sauti yao yanayowapigia watu kelele muda wote, ungeona vurugu zake