Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

Hivi kwanini wavaa kobazi wana mapepo sana ? Kama huamini we mpeleke church uone makelele yake na kuanguka,na wanapenda kolabo nao wakidai ni wazuri.
 
Kutia vurugu mahali popote hiyo hapana.
Ila kuvunja sanamu ni jambo jema. Maana hata Mungu mwenyewe anachukia masanamu ya aina yoyote yale.
 
Kutia vurugu mahali popote hiyo hapana.
Ila kuvunja sanamu ni jambo jema. Maana hata Mungu mwenyewe anachukia masanamu ya aina yoyote yale.
mbona hujaenda kuvunja masanamu kule kwenye temples za wahindi? kila mtu aachwe aabudu anavyoamini mradi havunji sheria na haki za wanyama na binadamu hii dunia sio ya mtu au kikundi cha watu.
 
Ukiwa huna utimamu wa akili dini itakupelekesha sana.

Ujue tatizo ni kua hizi dini tangu mdogo unaanza kulishwa vitu, mpaka mtu anakua mtu mzima anaimbiwa kitu hicho hicho kimoja, ni ngumu sana mtu huyu kuwaza nje ya box, ni vile kuna mitandao ya kijamii la sivyo mpaka leo jamii ingekua inaamini viongozi wa dini ni watu wema wasio na maovu.
Ni njaa tu
 
Hilo sanamu yavunjwe mambo ya kuombewa ni ukafiri na uchawi kabisa..

Kila mtu ashinde mechi zake.
Huyo mwenzako mechi zake anaenda kuzishindia jela Sasa msije Anza kulalamika mabwanajela wanampapasa shekhe wewe makalio kumbe mwenyewe anataka wenzenu wa uamsho hayo mambo yenu ya dini hawataki hata kusikia kwa sasa
 
Unajua namna ya kusoma na kuzitumia data?
Jamii yenye mashoga 8 kati ya watu 20 na jamii yenye mashoga 6 kati ya watu 10 ni jamii ipi iliyoathirika zaidi?
Muulize ustadhi poti rama yule wa zenje atakwambia
 
IBRAHIM alivunja masanamu.kwenye madhabahu ya baba ake ni sawa lakini huyu mzanzibari kwenda kuvunja masanamu kwenye "nyumba ya Mungu" mnaona sio sawa.
Ibrahim yupi huyo?
 
Lakini mbona wa upande mwengine huwasikii wakifanya hayo?husikii wakichoma nyumba za wengine moto wala wakifanya mihadhara kuwatukana wengine!

Inakuwaje kuna dini hiyo ndiyo michongo yake?hiyo dini ina nini special kiasi kuwa ni wao tu wanafanya haya mambo au ni kusema hao wengine wameshafanikiwa kutoka nje ya box?
Hujasikia wewe kwenye vyombo vya habari,kuwa wapo waliokojolea Qur'an,na waliochana misahafu,na hapo juzi India,misikiti kuvunjwa,na huko Israel misikiti kupigwa mabomu.
 
Hilo sanamu yavunjwe mambo ya kuombewa ni ukafiri na uchawi kabisa..

Kila mtu ashinde mechi zake.
Ujumbe wako, sentensi ya mwisho ndo yenye MAANA.

Komaa na IMANI YAKO , simamia mafundisho ya imani yako nini INAFUNDISHA ! Mnakubaliana nini ! Hoji yale yanayofundishwa kinyume kwenye imani yako!.

Hao wengine WAACHE, wanafundishana kadiri walivyokubaliana , Hata wao HAWAKUBALIANI jinsi imani yako ilivyo! Hata MAFUNDISHO yako hawayakubali lkn HAIWAHUSU wanajali ya kwao.

Kuanza kufuatilia IMANI za wengine huzaa CHUKI, WIVU, ROHO MBAYA na yote maovu yanayofanana nayo.

Mwisho wa siku kila anayeamini tofauti na wewe ni ADUI unaona hafai KUISHI ! nyumba yake ya IMANI huitaki unataka KUIBOMOA nini kitatokea?

MWENYEZI MUNGU ,muumba wa mbingu na ardhi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana,

Ameweka PEPO NA MOTO , Kaweka mafundisho yake , na kumuelekeza Mwanadamu , kisha kaweka DEMOKRASIA !

UKIFATA hili utapata hiki, ukifata hili utapat hiki!

Ww nani , unayelazimisha Binadamu wafate IMANI YAKO?

SIMAMIA unachokiamini SHINDA MECHI ZAKO.
 
Back
Top Bottom