Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

IBRAHIM alivunja masanamu.kwenye madhabahu ya baba ake ni sawa lakini huyu mzanzibari kwenda kuvunja masanamu kwenye "nyumba ya Mungu" mnaona sio sawa.
Ibrahim alivunja sanamu kwenye madhabahu ya baba yake ila Mzanzibari kavunja sanamu kwenye nyumba isiyomuhusu... jua kutofautisha hizi kauli mbili

Ni sawa na kwenda kuvunja TV ya jirani yako eti kwa sababu uipendi tu
 
Zanzibar
Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini Zanzibar na kufanya uharibifu wa mali kwa kushambulia sanamu zilizopo kanisani.

Lugha sahihi kwa kufuatana na waraka Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatikano yaani (Concilium Oecumenicum Vaticanum Secundum) sanamu hizi hutambulika kama sanaa takatifu kwa usahihi wa lugha iliyopo katika waraka mtaguso wa pili wa Vatican. Dulia Hyperdulia Latria maneno matatu ya lugha ya ki Latin.
Baada ya kufanya uharibifu huo alikamatwa na kukaguliwa begi lake kukutwa vitambulsho ikiwemo cha Taasisi ya Kupambana na Rushwa Zanzibar Anti-Corruption and Economic Crimes Authority (ZAECA) . Alikuwa anapiga kelele amerogwa na kuonesha kama ana matatizo ya akili.

View: https://m.youtube.com/watch?v=wJoePo8x-Ag
UMUHIMU WA SANAA TAKATIFU
Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatikano yaani (Concilium Oecumenicum Vaticanum Secundum) uliodumu kuanzia manmo mwaka 1962 hadi 1965 chini ya Mtakatifu Papa Paulo wa VI unaelezea pia masuala ya umuhimu wa lugha sahihi kuhusu nakshi, rangi, ishara na sanaa takatifu.

Nakshi au rangi ni ishara zinazoonekana kwa macho na zina umuhimu sana katika kila nyanja ya maisha, matukio na shughuli za kila siku za mwanadamu. Katika dhana nzima ya kuhudumu kwetu mbele ya Mwenyezi Mungu yaani kumwabudu, kumsifu, kumtukuza na kumshukuru, nakshi na rangi katika liturujia au adhimisho zinakuwa pia ni sehemu ya lazima ya tukio hili. Liturujia ya kanisa Katoliki tokea zama zake za awali imetumia nakshi, rangi, michoro, sanamu (sanaa takatifu) kama moja ya ishara, alama, vioneshi vya uzuri na utambulisho wa liturujia katika nyakati na matukio mabalimbali ya kiimani na kiibada yanayo adhimishwa.

Kanisa la minara miwili linapatikana mjini Zanzibar na ni kati ya vivutio vya kitalii vya mji huo. Liko Baghani Are lakini ni vigumu kufikiwa kati ya njia ndogo za mji mkongwre ngawa minara yake pacha inaonekana vizuri kwa mbali.

Tangu lijengwe limekuwa likitumiwa na jamii ya waumini Wakikatoliki mjini Zanzibar ambapo hadi leo misa kadhaa hufanyika siku za jumapili mbali na zile za kila siku, kama ilivyo kawaida hasa ya makanisa makuu.
 
Huyo wa Geita kaadhibiwa tayari... Na uenda alikuwa muumini wa kanisa hilo au anauhusiano nalo...

Lakini inashangaza kwa mtu ambaye siye dhehebu lake au dini yake kwenda kuvunja wakati havimuhusu, ukitizama hata jina lake ni la upande wa pili
 
Kinacho tia kinyaa Wazanzibar wanasema Wabara wanaharibu tamaduni zao lakini hawalalamikii Waitaliano wanavyo watoa marinda wake kwa waume hapo visiwani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyo wa Geita kaadhibiwa tayari... Na uenda alikuwa muumini wa kanisa hilo au anauhusiano nalo...

Lakini inashangaza kwa mtu ambaye siye dhehebu lake au dini yake kwenda kuvunja wakati havimuhusu, ukitizama hata jina lake ni la upande wa pili
Umekuwa na chuki kwa waislamu kila uzi ,je unapata faida gani? Nchi kubwa zote zina chuki ila wapi unapoteza muda kwansa ,rudi kaulize watu wa jamii yako wasafishe kinywa asubuhi inakera sana.
 
Kumbe bado unaishi maisha ya kupanga chumba na sebule alafu bado kila siku kushindwa kubwabwaja
Acha unafiki ww mkeo au mtoto wako angetaka kwenda kwa shehe ili asomewe Rukia ungewakubalia?
Hao waisilam mnao takaga wawapende mbona nyinyi hamuwapendagi zaidi ya kushinda humu mnawakashifu
Hivi kwa muislam ambaye ni mwana chama wa jf unataka awapendee nn hali ya kuwa kila siku humu kutwa munaanzisha nyuzi za kuwatukana,kuwakashifu na kuwakejeli ?
Alafu fanya utafute hela ujenge nyumba badala ya kushinda humu unashindana na Uislam ambao huwezi kuushinda.
 
Kiasili muislamu lazima muislamu lazima amchukie muislamu mkristo kama mkristo anavyomchukia muislamu

NB
Chuki hizo zinabakia kwenye dini tu ila sio mambo ya kimaisha ya kawaida


Mambo ya kimaisha yasiyohusiana na dini uislamu unalazimisha tushirikiane Kwa wema.


Huyo mume yupo sahihi, jambo la maombo ni dini hiyo na mtu akienda Kwa hao manabii maana yake ameukana uislamu
 
Lakini mbona wa upande mwengine huwasikii wakifanya hayo?husikii wakichoma nyumba za wengine moto wala wakifanya mihadhara kuwatukana wengine!

Inakuwaje kuna dini hiyo ndiyo michongo yake?hiyo dini ina nini special kiasi kuwa ni wao tu wanafanya haya mambo au ni kusema hao wengine wameshafanikiwa kutoka nje ya box?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…