Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

Haiwezekani mtu na akili zako timamu ukala kumbi kumbi
Karibu Mkuu!
20211206_210930.jpg
 
Ngoja tuone atasemaje
Waangalie wachina wanakula kila aina ya mdudu lakini angalia thinking capacity yao inafanana na wewe unayejifanya "una akili timamu"?

Kula roho inapenda ilimradi usione kinyaa.
 
Back
Top Bottom