Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

Nenda Kivu au Burundi huko uone raia wanakula nzi...
 
Nenda Kivu au Burundi huko uone raia wanakula nzi...
South Afrika nao wanakula washawasha🙊 yani kila nikifikiria wale wadudu walivyo halafu eti kuna maeneo wanakula... nachoka kabisa
 
Niliona kwa wapare! Ila sasa kumbikumbi ni wadudu kabisa mpaka mtu upate wazo la kujaribu kula njaa itakuwa imekupiga sana
Kwetu wanaliwa pia sema mimi siwali, I don't take a life of any living organism.
 
South Afrika nao wanakula washawasha🙊 yani kila nikifikiria wale wadudu walivyo halafu eti kuna maeneo wanakula... nachoka kabisa

Zambia na DRC maeneo kama Lubumbashi wanakula ile midudu washa inakuwa kwenye miembe kipindi cha mvua...

Unakuta wamesonga bonge la ugali, na kwenye bakuli imejaa ile midude imekaushwa...
 
Haiwezekani mtu na akili zako timamu ukala kumbi kumbi
Utakuwa mpumabvu sana we mjinga stupid asshole. Wewe kwenu mnakula mavi na hatusemi, mavi wewe.

Babako alinyonya nanihii ya mamako mbona husemi kwamba nae hana akili? Mamako mbona alikula nanihii ya babako na huoni ni hana akili?
 
Mleta mada yupo sahihi kumbikumbi hapaswi kuliwa kwa mujibu wa Neno la Mungu maana sifa za wadudu wanaopaswa kuliwa zimetajwa ambazo kumbikumbi hana mojawapo ni kama nguruwe, sungura, bata nk

Walawi :11:21
Lakini, baadhi ya wadudu wenye mabawa na wanakwenda kwa miguu minne ya kurukia ardhini mnaweza kula.

Walawi :11:22
Hao ni: Kila aina ya nzige, kila aina ya senene, kila aina ya panzi na kila aina ya parare.

Walawi :11:23
Lakini wadudu wengine wote wenye mabawa na miguu minne ni najisi kwenu.
 
Back
Top Bottom