Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

Zambia na DRC maeneo kama Lubumbashi wanakula ile midudu washa inakuwa kwenye miembe kipindi cha mvua...

Unakuta wamesonga bonge la ugali, na kwenye bakuli imejaa ile midude imekaushwa...
Nyie tupigeni kamba tu!!
 
Cha ajabu asiyekula kumbikumbi akiwa na upungufu wa damu atachangiwa damu na anayekula kumbikumbi.

Yule asiyekula kitimoto na kumuita mwenzake kafiri naye akiumwa upungufu wa damu naye ataongezewa damu na hao hao makafiri na wala kitimoto.
Hahaha
 
Na uchagga wangu, hii kitu ni tamu kinyamaa nyiee. Ukute imewekewa pilipili kwa mbaali sasa.

NITARUDI BUKOBA 😁😊

1640364999829.png
 
Back
Top Bottom