MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Uzi tayari. Jf imevamiwa na wapumbavu wa kila aina. Huli kumbikumbi ila senene unakulaHaiwezekani mtu na akili zako timamu ukala kumbi kumbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi tayari. Jf imevamiwa na wapumbavu wa kila aina. Huli kumbikumbi ila senene unakulaHaiwezekani mtu na akili zako timamu ukala kumbi kumbi
Haiwezekani mtu na akili zako timamu ukala kumbi kumbi
Ficha basi kutokuelewa kwako.Mleta mada yupo sahihi kumbikumbi hapaswi kuliwa kwa mujibu wa Neno la Mungu maana sifa za wadudu wanaopaswa kuliwa zimetajwa ambazo kumbikumbi hana mojawapo ni kama nguruwe, sungura, bata nk
Walawi :11:21
Lakini, baadhi ya wadudu wenye mabawa na wanakwenda kwa miguu minne ya kurukia ardhini mnaweza kula.
Walawi :11:22
Hao ni: Kila aina ya nzige, kila aina ya senene, kila aina ya panzi na kila aina ya parare.
Walawi :11:23
Lakini wadudu wengine wote wenye mabawa na miguu minne ni najisi kwenu.
Wewe ndiyo wa kuficha kutokuelewa kwako Yesu aliposema hivi alimaanisha nini?Ficha basi kutokuelewa kwako.
Yesu ni law giver.
Kanisa lina vipindi tofauti saba. Hicho kipindi kilipita kama vile ilivyopita talaka au kuteketeza wanyama kupata msamaha wa dhambi sasa hivi haikubaliki tena ndani ya kanisa
Hivyo hivyo Mtu mwenye Akili timamu hawezi andika upupu huu.Haiwezekani mtu na akili zako timamu ukala kumbi kumbi
Chaa! Hizi inappropriate explosions huwa mnatoa wapi?Utakuwa mpumabvu sana we mjinga stupid asshole. Wewe kwenu mnakula mavi na hatusemi, mavi wewe.
Babako alinyonya nanihii ya mamako mbona husemi kwamba nae hana akili? Mamako mbona alikula nanihii ya babako na huoni ni hana akili?
Mi kuwakamata naogopa lakini wakishakuwa tayari natoka mafichoni nakula vizuri...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Moja ya vitu vitamu Mungu aliumba ni hao wadudu.. nitawala mpaka kesho yani namna ya kuwapata ndo mtiti
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849]Mleta mada yupo sahihi kumbikumbi hapaswi kuliwa kwa mujibu wa Neno la Mungu maana sifa za wadudu wanaopaswa kuliwa zimetajwa ambazo kumbikumbi hana mojawapo ni kama nguruwe, sungura, bata nk
Walawi :11:21
Lakini, baadhi ya wadudu wenye mabawa na wanakwenda kwa miguu minne ya kurukia ardhini mnaweza kula.
Walawi :11:22
Hao ni: Kila aina ya nzige, kila aina ya senene, kila aina ya panzi na kila aina ya parare.
Walawi :11:23
Lakini wadudu wengine wote wenye mabawa na miguu minne ni najisi kwenu.
Mi nakula kumbikumbi, senene na nzige.We unakula kumbikumbi?
Mwambie ukweli huyo hajielewi.Waangalie wachina wanakula kila aina ya mdudu lakini angalia thinking capacity yao inafanana na wewe unayejifanya "una akili timamu"?
Kula roho inapenda ilimradi usione kinyaa.
Tena kuandika bila kutoa sababu..Mimi nakula lakini siko hivyo kama ulivyoandikaMtu mwenye akili timamu hawei kuandika haya. Bila shaka si wewe uliyeandika haya