Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Mimi nashangaa sana watu kama wewe huwa mnakosa akili kichwani . Mfano watu 40000 wameliza vyuo katika fani mbalimbali Tz nzima na ktk hao kumi elfu wakawa wameajiliwa na thelathini elfu wakawa hawana ajira na wakaenda kuanzisha ujasiriamali . Nani atamuhuzia mwenzake .Wapi ilipoandikwa kwamba mtu akiwa na degree lazima aajiriwe?
Wazazi wengi bado tuna mindset za kuwasomesha watoto wetu ili baadae waje waajiriwe.Ajira sasa hvi ni tatizo la dunia nzima. Hivyo kujiajiri ndiyo itasaidia kupunguza hilo tatizo. Na wakati mwingine kujiajiri hakuangalii una elimu gani na umesomea fani gani, ingawa naamini mtu aliyesoma anaweza kujiajiri na nkufanya vizuri zaidi kama atakuwa serious.
Kama huyo kijana ana passion ya kushona nguo anaweza akajiendeleza mdogo mdogo baadae akaja kuwa hata na kiwanda kidogo cha kushona nguo na hata akaajiri vijana wengine. MAISHA HAYANA FORMULA!
Mfano 2.
Umemaliza course ya engineering hafu wote mkaenda kufungua construction company miaka miatu ujapata tenda utalipa Nini ada crb na kodi.
Kumbuka crb imedelete compuni nyingi sana mwaka huu kwa kushinda kulipa ada na zingine zimekufa kwa kukosa tenda .
Na compuni nyingi hazina mtaji wa kushika hata tenda za milioni Mia moja na zinaenda kwa kampuni za kigeni.
Sent using Jamii Forums mobile app