Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Binadamu tumeumbwa na Mungu!!na ni sisi weusi.Watu wametengenezwa maabara Ndio hawa akina Elizabeth na Putin.
 
Unataka kubadili mtazamo wa jamii nzima kwa kutumia mawazo ya hio jamii? Ungetoa mawazo Yako mbadala ya asili au chanzo Cha binadamu na mtu mweusi pia akiwa involved!!
 

Binadamu wa kwanza anasadikika kutokea oldvai gorge
 
Ninchoamini kutoka ktk maandishi na uelewa wangu n hivi...

1. Adam na Hawa alikuwa n black race.

2. Adam and Eve walikuwa n watu wengi. Biblia kwa sehemu kubwa imetumia mafumbo

3. Uzao wa mtu mweusi ulianzia Africa, na hata uzao wa hao wazungu, watu wa Asia, Americans, etc ulitokea huku afrika, race hubadilika kidogo kidogo kutokana na mabadiliko ya kimazingira.

4. Mtu mweupe na mweupe wakihamia ukanda wa Ikweta for the first time hawawezi kuzaa black race, na hata wajukuu hawawezi kuzaa black.... Ila baada ya miaka maelfu nyingi huko mbele hiyo race itakuwa ikibadirika taratibu taratibu, na hatimaye kuwa ktk black race
 
Fuvu la binadamu wa kwanza kuishi duniani, linapatokana Olduvai Gorge. Hii ni kwa mujibu wa historia. Hivyo binadam wa kwanza labda alikuwa mtu mweusi tena Mtanzania.
Pia.
Hilo n fuvu lililogunduliwa, yawezeka pia kukawa na fuvu mahala fulani ambalo halijagunduliwa.
 
Asante
 
Tukumbuke pia ktk geography Kuna kitu kinaitwa PANGAEA, ukiangalia vizuri Ile Pangaea utaona n Kama African Continent ndio ika katikati, then kutokana na Mambo ya Continental drifts hiyo bustani ya Eden labda ilihama, ama bado iko Africa.

Lakini pia tunaposema bustani sidhani Kama ni kijibustani kidogo, yawezeka kuwa n eneo kubwa zaidi kuliko biblia ilivozumgumza
 
Soma table of nations majibu yote yapo humo. Naona swali linajirudia kila mara, tatizo na uvivu wa kusoma maandiko halafu inaibua hoja tukusomee
 
Lakini pia ukiangalia Bible haikutaja udongo ulikuwa wa rangi gani Mana tunaona udongo una rangi tofauti tofauti.

Kikubwa imeachwa kuwa tata ili tujue wote Ni wa baba na mama mmoja tukitokea kwa baba mmoja.
Hata kwenye Bible Ni maongezi machache unaweza kuona yakiongelea rangi, Mfano Mfalme sule akisifia weusi wa ngozi yake kwenye Moja ya vitabu vyake.
 
Kama mtu mweusi sio uzao wa Adamu kwa nini anakufa?
Mimi Naona habari za dini zimekuja baada ya binadamu kuwa na mambo mengi ambayo yako juu ya upeo wake na hivyo kushindwa kupata majibu sahihi ya mambo hayo, hasa Jambo kuu lililomfanya binadamu aanze kutafuta habari za Mungu ni kifo.

Tangu mwanzo binadamu amekuwa akijiuliza je binadamu anapokufa huenda wapi , na je Nini hutoka ili tujue kuwa mtu huyu kafa , haya mambo ndo yalipelekea binadamu kudevelop concepts za uwepo wa Mungu hii Ni baada ya kuona hakuna majibu sahihi ya hoja hizo.

Kwa taarifa yako tu yakupasa ujue kuwa ikiwa Leo hii akatokea mtu
/ dawa ya kufufua wafu hakuna mtu ataenda Tena kanisani Wala kukuhadithia habari za Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…