Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Mimi Naona habari za dini zimekuja baada ya binadamu kuwa na mambo mengi ambayo yako juu ya upeo wake na hivyo kushindwa kupata majibu sahihi ya mambo hayo, hasa Jambo kuu lililomfanya binadamu aanze kutafuta habari za Mungu ni kifo.

Tangu mwanzo binadamu amekuwa akijiuliza je binadamu anapokufa huenda wapi , na je Nini hutoka ili tujue kuwa mtu huyu kafa , haya mambo ndo yalipelekea binadamu kudevelop concepts za uwepo wa Mungu hii Ni baada ya kuona hakuna majibu sahihi ya hoja hizo.

Kwa taarifa yako tu yakupasa ujue kuwa ikiwa Leo hii akatokea mtu
/ dawa ya kufufua wafu hakuna mtu ataenda Tena kanisani Wala kukuhadithia habari za Mungu.

Unajua mtu anaposema kwamba mtu mweusi sio uzao wa Adam alitakiwa atupe hata fact za kisayansi ili angalau tuweze kufikiri kwa mapana zaidi maana Leo hii Mimi na weusi wangu huu ukinipa mwanamke wa kizungu ni kitambo Cha wiki tatu TU nitakuwa nimempa mimba,,hili pia lilitakiwa lisiwezekane,,maana sokwe anaekaribiana kufanana na binadamu hawezi kumpa mimba mwanamke yoyote Alie binadamu kwa sababu sayansi inasema animal chromosomes can not match with human chromosome for meiosis to take place

Sasa inaonyesha mtu mweusi na mzungu wametofautiana rangi TU ila shina lao ni Moja,,Adam,,,Labda mwandishi atupe sababu zaidi,,,pia kumwabudu Mungu ni Sawa na pie = 22/7 binadamu na ibada ni kama samaki na maji maana ndio kusudio la binadamu kuwepo duniani

Bondia Mike Tyson baada ya kuona kama jua lake linakaribia kuzama anasema kuwa na mapesa hajaona maana/umuhimu wake anamtaka Mungu TU,,tujaribu kuvaa viatu vyake maana kamaliza Kila kitu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Jamii za kiyahudi, jamii za kiajemi, jamii za kiarabu n.k
Unaposema jamii za kiyahudi, jamii za kiajemi na jamii za kiarabu. Zinathibitisha vipi kwamba watu wa mashariki ya kati wote ni rangi moja? (With Proved Valid Evidence)
 
Unaposema jamii za kiyahudi, jamii za kiajemi na jamii za kiarabu. Zinathibitisha vipi kwamba watu wa mashariki ya kati wote ni rangi moja? (With Proved Valid Evidence)
Sasa mkuu si nimekutajia hizo jamii zitazame rangi zake mbona ni moja mkuu au unahitaji uthibitisho gani wa rangi zaidi ya hapo.
 
Unajua mtu anaposema kwamba mtu mweusi sio uzao wa Adam alitakiwa atupe hata fact za kisayansi ili angalau tuweze kufikiri kwa mapana zaidi maana Leo hii Mimi na weusi wangu huu ukinipa mwanamke wa kizungu ni kitambo Cha wiki tatu TU nitakuwa nimempa mimba,,hili pia lilitakiwa lisiwezekane,,maana sokwe anaekaribiana kufanana na binadamu hawezi kumpa mimba mwanamke yoyote Alie binadamu kwa sababu sayansi inasema animal chromosomes can not match with human chromosome for meiosis to take place,,,Sasa inaonyesha mtu mweusi na mzungu wametofautiana rangi TU ila shina lao ni Moja,,Adam,,,Labda mwandishi atupe sababu zaidi,,,pia kumwabudu Mungu ni Sawa na pie = 22/7 binadamu na ibada ni kama samaki na maji maana ndio kusudio la binadamu kuwepo duniani,,,Bondia Mike Tyson baada ya kuona kama jua lake linakaribia kuzama anasema kuwa na mapesa hajaona maana/umuhimu wake anamtaka Mungu TU,,tujaribu kuvaa viatu vyake maana kamaliza Kila kitu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hapa ndipo tunapo vuruga sisi Watu, post na comment zote hazi mzungumziii Mtu Kama Mtu Zina zungumzia Mwili wa Mtu balaaa tuko gizani sana,
 
Kuna watu wana kila dalili za wendawazimu... Ila hawajagundulika na madaktari tu...

Sasa hapo unaona umeuliza maswaaaliiii challenging...
 
Sijakuelewa,,labda nimetoka nje ya maada! Nilitakiwa niegemee sana wapi?
Wengi wetu huwa tuna chukulia Hivi ili Mtu awe Mtu ni Mwili lah hasha Mtu ni Mtu na Mwili ni Mwili, Miili yetu ndiyo ina rangi tofauti ila format ya Mtu ni sawa kwa wote tuliopo Dunia hii
 
Wengi wetu huwa tuna chukulia Hivi ili Mtu awe Mtu ni Mwili lah hasha Mtu ni Mtu na Mwili ni Mwili, Miili yetu ndiyo ina rangi tofauti ila format ya Mtu ni sawa kwa wote tuliopo Dunia hii
Sawa kabisa,,Sasa kama mwafrika na mzungu/au watu weupe wametokana na vyanzo tofauti katika kuwepo kwao! Inawezekanaje wafanane miili kwa Kila kitu isipokuwa rangi TU?

Na pia hio format kwa nini wafanane wakati hawajatokana na chanzo kimoja?
 
Sasa mkuu si nimekutajia hizo jamii zitazame rangi zake mbona ni moja mkuu au unahitaji uthibitisho gani wa rangi zaidi ya hapo.
Vipi umethibitisha kwa kufanya counting and recording ya watu wote mmoja mmoja kwenye hizo jamii(Idadi kamili ya hao watu wote)? Au umefanya Sampling tu?
 
Huenda ni kinyume chake, kumbuka rangi ya udongo ni ya k-afrika, Mungu alitumia udongo kuumba. Basi mtu wa mwanzo alikuwa mweusi. Wazungu walivamia tu Dunia kutoka sayari za mbali (Aliens) Wazungu wana Mungu wao aliyejificha katika hizi dini walizotuletea.
 
Siri ya chimbuko na asili ya mtu mweusi sio adamu na eva (soulless hawa) angalia nyimbo ya kendrick Lamar nyimbo inaitwa All the Stars angalia kuanzia dakika ya 3 mpaka dakika 3:33. Ukiangalia leta mrejesho hapa.
 
Mimi ninachojua sisi wote ni uzao wa Adam na Eva. Ila baada ya gharika uzao wa nuhu ulisamba ulimwenguni kote. Kasome mwanzo na mambo ya nyakati, mwanzo sote yote kabisa

N. B: siri ya mwanadam ipo kwenye biblia, hivyo jaribu kusoma
 
white people are from red planet,pure dark nibiru, pale dark earth
 
Hahaha...
You are what you eat..
Nenda kaishi greenland,usipate jua,halafu uwe unakula samaki tu utaona kama ngozi yako na muonekano wako na utakachokizaa hakitobadilika..

Mkuu,hizi nazaria(theory),ni matokeo ya milioni ya miaka ..
Niende Greenland ,nisipate jua ,alafu niwe Ninakula samaki tu ngozi yangu na muonekano wangu Vita badilika.

_samaki nile kwa muda gani. ?
_nisipate just ka muda gani?
_nikisha kula samaki, mbegu zangu za uzazi zita badilika na kuanza kuzaa wazungu??
_niki kosa jua, pua yangu itachongoka ka ya wazungu?


Maswali Ni mengi ila nijibu tudogo uto [emoji120][emoji120][emoji40][emoji40]
 
Mabadiliko ya hali ya hewa,kawa Mweusi sababu ya kupigwa jua.
Hata weupe wakikaa mda mrefu afrika weupe wao uanza kufifia so kitendo hiki cha mabadiliko ya rangi ni cha miaka.Kadri watu wanavyozidi kurudi chini ya ikweta ndivyo uzidi kuwa weusi
Kwaiyo wazungu waishiyo afrika kusini miaka milioni ijaya watakuwa Kama diata wa Senegal sio??
 
Back
Top Bottom