Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Unaweza kunithibitishia kwamba ni watu wa rangi moja?rangi moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kunithibitishia kwamba ni watu wa rangi moja?rangi moja.
Jamii za kiyahudi, jamii za kiajemi, jamii za kiarabu n.kUnaweza kunithibitishia kwamba ni watu wa rangi moja?
Mimi Naona habari za dini zimekuja baada ya binadamu kuwa na mambo mengi ambayo yako juu ya upeo wake na hivyo kushindwa kupata majibu sahihi ya mambo hayo, hasa Jambo kuu lililomfanya binadamu aanze kutafuta habari za Mungu ni kifo.
Tangu mwanzo binadamu amekuwa akijiuliza je binadamu anapokufa huenda wapi , na je Nini hutoka ili tujue kuwa mtu huyu kafa , haya mambo ndo yalipelekea binadamu kudevelop concepts za uwepo wa Mungu hii Ni baada ya kuona hakuna majibu sahihi ya hoja hizo.
Kwa taarifa yako tu yakupasa ujue kuwa ikiwa Leo hii akatokea mtu
/ dawa ya kufufua wafu hakuna mtu ataenda Tena kanisani Wala kukuhadithia habari za Mungu.
Unaposema jamii za kiyahudi, jamii za kiajemi na jamii za kiarabu. Zinathibitisha vipi kwamba watu wa mashariki ya kati wote ni rangi moja? (With Proved Valid Evidence)Jamii za kiyahudi, jamii za kiajemi, jamii za kiarabu n.k
Sasa mkuu si nimekutajia hizo jamii zitazame rangi zake mbona ni moja mkuu au unahitaji uthibitisho gani wa rangi zaidi ya hapo.Unaposema jamii za kiyahudi, jamii za kiajemi na jamii za kiarabu. Zinathibitisha vipi kwamba watu wa mashariki ya kati wote ni rangi moja? (With Proved Valid Evidence)
Hapa ndipo tunapo vuruga sisi Watu, post na comment zote hazi mzungumziii Mtu Kama Mtu Zina zungumzia Mwili wa Mtu balaaa tuko gizani sana,Unajua mtu anaposema kwamba mtu mweusi sio uzao wa Adam alitakiwa atupe hata fact za kisayansi ili angalau tuweze kufikiri kwa mapana zaidi maana Leo hii Mimi na weusi wangu huu ukinipa mwanamke wa kizungu ni kitambo Cha wiki tatu TU nitakuwa nimempa mimba,,hili pia lilitakiwa lisiwezekane,,maana sokwe anaekaribiana kufanana na binadamu hawezi kumpa mimba mwanamke yoyote Alie binadamu kwa sababu sayansi inasema animal chromosomes can not match with human chromosome for meiosis to take place,,,Sasa inaonyesha mtu mweusi na mzungu wametofautiana rangi TU ila shina lao ni Moja,,Adam,,,Labda mwandishi atupe sababu zaidi,,,pia kumwabudu Mungu ni Sawa na pie = 22/7 binadamu na ibada ni kama samaki na maji maana ndio kusudio la binadamu kuwepo duniani,,,Bondia Mike Tyson baada ya kuona kama jua lake linakaribia kuzama anasema kuwa na mapesa hajaona maana/umuhimu wake anamtaka Mungu TU,,tujaribu kuvaa viatu vyake maana kamaliza Kila kitu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sijakuelewa,,labda nimetoka nje ya maada! Nilitakiwa niegemee sana wapi?Hapa ndipo tunapo vuruga sisi Watu, post na comment zote hazi mzungumziii Mtu Kama Mtu Zina zungumzia Mwili wa Mtu balaaa tuko gizani sana,
Wengi wetu huwa tuna chukulia Hivi ili Mtu awe Mtu ni Mwili lah hasha Mtu ni Mtu na Mwili ni Mwili, Miili yetu ndiyo ina rangi tofauti ila format ya Mtu ni sawa kwa wote tuliopo Dunia hiiSijakuelewa,,labda nimetoka nje ya maada! Nilitakiwa niegemee sana wapi?
Sawa kabisa,,Sasa kama mwafrika na mzungu/au watu weupe wametokana na vyanzo tofauti katika kuwepo kwao! Inawezekanaje wafanane miili kwa Kila kitu isipokuwa rangi TU?Wengi wetu huwa tuna chukulia Hivi ili Mtu awe Mtu ni Mwili lah hasha Mtu ni Mtu na Mwili ni Mwili, Miili yetu ndiyo ina rangi tofauti ila format ya Mtu ni sawa kwa wote tuliopo Dunia hii
Vipi umethibitisha kwa kufanya counting and recording ya watu wote mmoja mmoja kwenye hizo jamii(Idadi kamili ya hao watu wote)? Au umefanya Sampling tu?Sasa mkuu si nimekutajia hizo jamii zitazame rangi zake mbona ni moja mkuu au unahitaji uthibitisho gani wa rangi zaidi ya hapo.
Niende Greenland ,nisipate jua ,alafu niwe Ninakula samaki tu ngozi yangu na muonekano wangu Vita badilika.Hahaha...
You are what you eat..
Nenda kaishi greenland,usipate jua,halafu uwe unakula samaki tu utaona kama ngozi yako na muonekano wako na utakachokizaa hakitobadilika..
Mkuu,hizi nazaria(theory),ni matokeo ya milioni ya miaka ..
Kwaiyo wazungu waishiyo afrika kusini miaka milioni ijaya watakuwa Kama diata wa Senegal sio??Mabadiliko ya hali ya hewa,kawa Mweusi sababu ya kupigwa jua.
Hata weupe wakikaa mda mrefu afrika weupe wao uanza kufifia so kitendo hiki cha mabadiliko ya rangi ni cha miaka.Kadri watu wanavyozidi kurudi chini ya ikweta ndivyo uzidi kuwa weusi
Pua na zenyewe zimekua flati Kama za mdomo wa kambare[emoji16][emoji120][emoji120]Au nenda Nungwi ukaone vipi rangi za ngozi za Wazungu zinavyobadilka kwa jua la Afrika 🙂[emoji23][emoji23]
Kwaiyo bilgate na dangote ,Jeff wa Amazon wanachezea hela za familia??[emoji16][emoji16][emoji120][emoji120]Watu wote duniani ni ndugu sabb wazazi walikuwa ni adama na eva