Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Punguza ujinga watu hawaongezi hata dk baada ya masaa ya kazi , kabebe mwenyewe zege .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kazi zao watu wa pwani tuliwagomea wazungu , aende bara kwa wasiojua utu wao hata mia 200 wanachukuaMimi ninachojua hela haijai...sio ajabu umempa huyo baba kazi ya afutatu alafu unakuja kumnanga huku
Kazi na dawaSikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi.
Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
Wewe kafiri hadi sikukuu inakuuma?Sikukuu yenyewe ya kipuuzi hii nani anaitambua ache kwenda kufanya kazi? Ni kazi tu na hatujui kama kuna sikukuu
Acha watu wale sikukuu muda wa kuwa hawafanyi haramu.Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi.
Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
Na wewe uwe muelewa ukiambiwa na mtu mzima anakula sikukuu elewa neno nakula sikukuu...hamaanishi pilau na soda..Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi.
Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
Waambie hao...Hakuna kitu cha kushangaza hapo, Mzungu mwenyewe kumfanya arudi ofisini akupe huduma kipindi cha christmas ni almost impossible
Sasa si mngelalamikiana huko huko inatosha, ndiyo uje kuisumbua JF namna hiyo?Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi.
Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
😂😂Mtupumzishe jmnSikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi.
Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
Kama mimi nilvyo makini huwa nawakata mshahara wagalatia siku za sijui kirisimasi mara pasaka na juma kuuSikukuu yenyewe ya kipuuzi hii nani anaitambua ache kwenda kufanya kazi? Ni kazi tu na hatujui kama kuna sikukuu