Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

Ila wakuu, ukijiona hadi ifike sikukuu ndio unakula vzr, unakaa na familia n.k aisee ww bado sana
 
images (94).jpeg
 
Kama mimi nilvyo makini huwa nawakata mshahara wagalatia siku za sijui kirisimasi mara pasaka na juma kuu
Siingii hasara za kipuuzi, hapo hata kuomba hela ya sikukuu zao wanaogopa na makato juu, kama hawataki huwa nawapa live, na kibarua kiishie hapa.
unafanya hivyo na kwa wavaa kobazi wenzako au unawaonea tu wagalatia?
 
Wewe kafiri hadi sikukuu inakuuma?
nikuulize swali we mfia dini, mbona mmewachia wenzenu katika dini waturuki wanunue mifugo mingi na kuichinja huku wanapiga picha na kurekodi shughuli za uchinjaji. Nyie waswahili wa mjimwema na mkwajuni ongeza na kichangani mbona hamnunui mifugo mchinje kwa wingi kama waturuki, tutaamini vipi kama hiyo ni sadka safi kama si kafara kutumbumbaza sisi watanzania ili akili zetu zisiwaze vema kwenye rasimali zetu zinazotamaniwa na mataifa ya nje hususani ulaya, amerika na asia?
 
Kama mimi nilvyo makini huwa nawakata mshahara wagalatia siku za sijui kirisimasi mara pasaka na juma kuu
Siingii hasara za kipuuzi, hapo hata kuomba hela ya sikukuu zao wanaogopa na makato juu, kama hawataki huwa nawapa live, na kibarua kiishie hapa.
utawakata mishahara hao mburula wasiojiweza akilini mwao wakikutegemea wewe uwaajiri. Kwa watu kama sisi tusioishi kwa kutegemea ujira toka kwa waajiri hutaweza kukata mshahara tutakuburuza mahamani na kazi zako zitadoda mpaka ushike adabu na utaongeza dau. Nikuingizie hela halafu unikate naondoka kijeuri na ujuzi wangu naupeleka kwa mwingine mwenye kuuhitaji, hapo ndio utajua kuwa knowledge is power than money
 
huo ni umasikini mkubwa sana, eti siku za sikukuu ndio unakula vizuri! Unatakiwa ule vizuri kila siku
Watu hawalingani vipato Kuna mtu Kila siku anakula vizuri na Kuna mwingine mpaka azikusanye ifike sikukuu ndo ale na kuvaa vizuri na Kuna wengine wanapitisha mwaka mzima bilabila
 
Sikukuu ni public holiday, unless iwe vibarua visivyo rasmi. Kila mtu ana haki ya kuabudu kikatiba, sikukuu za kidini ni sehemu ya ibada.
 
Mjifunze kubalance life na maisha sikukuu ni siku moja kwa miezi kazi zipo tu ,enjoy na marafiki refreshing
 
Wabongo wachache sana wako serious na maisha.

Hapo utakuta ana elfu 10 mfukoni anasherehekea inaisha yote.
 
Watanzania wengi wajinga wandhani ku work hard ndo ku-earn more.halafu hatukuubwa kumtafuta pesa ,pesa ipo ku-support life .
Indeed the goal of life is not money but happiness.
Stop nonsense now
duh! Hapa umetema madini ghali sana we member mgeni, thanks
 
Sikukuu yenyewe ya kipuuzi hii nani anaitambua aache kwenda kufanya kazi? Ni kazi tu na hatujui kama kuna sikukuu
Wanaitambua wanaoisherehekea. Wewe ni nani mpaka uite sikukuu za wenzako upuuzi?
Tukiseme wewe ndio mpuuzi utafurahi?
Kafanye kazi hujakatazwa, waache watu wafanye wanavyotaka.
Mpuuzi wewe. Marabuku.
 
Wanaitambua wanaoisherehekea. Wewe ni nani mpaka uite sikukuu za wenzako upuuzi?
Tukiseme wewe ndio mpuuzi utafurahi?
Kafanye kazi hujakatazwa, waache watu wafanye wanavyotaka.
Mpuuzi wewe. Marabuku.
mbona povu jingi? Acha uvivu fanya kazi kwa bidii uje ufurahie maisha ndio sikukuu yenyewe
 
Back
Top Bottom