Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

Hana cha kupoteza muache ale sikukuu tafuta mwingine.
 
Ujuzi wako wa kubeba zege?
Zege halilali, gorofa itapanda hapa iwe krisimasi au pasaka
Ukiokoka tu unapishana gari la mshahara
 
Sasa kama unatafuta 24/7 unapata muda wa kuitumia saa ngapi?Punguza kuhonga mkuu duniani hukuja kuteseka.
 
Naunga mkono hoja.
Me cjawah kupumzika sikuuu yoyote na hata sina weekend. Kila siku n kutafuta pesa
Sasa hizo pesa zinakusaidia nini? Watu huzitafuta ili wazitumie, wewe hupumziki yani huna muda wa kuzitumia, au uko jela?
 
Cha muhimu wakati wa kazi ni kufanya kazi kama punda na wakati wa sikukuu ni kuinjoi hadi kieleweke. Tatizo wabongo muda wa kazi pia tunaleta janja janja ndo maana wakati wa sikukuu tunaishia kujishuku kama mleta mada.
 
Ujuzi wako wa kubeba zege?
Zege halilali, gorofa itapanda hapa iwe krisimasi au pasaka
Ukiokoka tu unapishana gari la mshahara
ukipata wabeba zege masikini jeuri halafu ukawazingua kuwalipa unadhani hilo zege lako halitalala? Unaachiwa tu ili ushike adabu
 
Siku kuu yoyote ile ambayo itampatia mwaajiriwa fursa ya kupumzika kwenda kazini, hiyo huwa among the best things kwa watafutaji walioajiriwa popoye duniani. Ukiona kuna wanaozichukua basi juwa kuna namna wanafaidika kwa kumpiga matukio mwajiri
 
Kwa sababu ni Eid... au sikukuu zote huwa unapiga kazi..?
 
Labda hiyo kazi haina hela
 
Sikukuu yenyewe ya kipuuzi hii nani anaitambua aache kwenda kufanya kazi? Ni kazi tu na hatujui kama kuna sikukuu
Acha bangi....
Sikukuu hii haikuhusu ndiyo maana huitambui...
Wahusika wanafahamu kuhusu hii sikukuu kitambo, hata kwenye kalenda yako ya simu ipo.
Wenye akili wanaitambua hadi wameiweka kwenye kalenda, wewe kilaza mmoja, unanuka shida unakuja hapa kuharisha.
 
Wewe ni ZOMBIE...
Waturuki ndiyo huchukua rasilimali za Tz na kupeleka kwao...?
Kama ni kafara kwa ajili ya kutupumbaza akili zetu, kwanini kafara hiyo isifanywe na U.S.A, CHINA na U.K ambao ndiyo hujibebea rasilimali zetu kila siku.

Tanzania ni Miongoni mwa mataifa yenye mifugo mingi Duniani, na tunasafirisha nyama kwenda nje mara nyingi tu.
Hao unaowaona wanachinja kwa wingi, uchumi wao upo juu kulinganisha na sisi.
 
unajibu point ila kwa povu. Zombie ni wewe unaosaini mikataba ya kijuha bila kujua athari
 
unajiita snowden wakati we ni mujahidina. Hii sikukuu ni upuuzi tu, asubuhi hii wamefunga maduka kwenda kuinamainama kijinga wakati Mungu hatambui swala hizo
 
unajiita snowden wakati we ni mujahidina. Hii sikukuu ni upuuzi tu, asubuhi hii wamefunga maduka kwenda kuinamainama kijinga wakati Mungu hatambui swala hizo
Mungu wako hatambui ila Mungu wa waislam anatambua.

Ibada za waislam hazikuhusu...ishi maisha yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…