Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Mimi ni mpinzani, ila haya mengine tumeyataka wenyewe.
Ulipigwa vitani , unaingia tena vitani na adui yuleyule huku hujabadili jambo. CCM walishajiwekea mazingira haramu ya ushindi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tuliwambia toka 2015 piganieni tume huru, nyie mkaishia kujadili kingereza cha Magu.,

Yani toka 2015 mlichofanikiwa ni kujadili kingereza cha Magu tu.
 
Ccm inatumia ruzuku kujijenga na kupata wanachama safi kama JPM. Chadema wanatumia ruzuku kunywa konyagi na kuvuta bangi.
Ruzuku ya CCM inatumika kuidhoofisha kuihujumu chadema na kuua upinzani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani
 
Ama kweli CCM kazi wanaijua, inabidi kukubali matokeo tu bwashee. Kwa sasa kilichobaki ni kutafakari ni kitu gani opposition ilikosea na kujipanga upya.
 
Natabiri kutokea mpasuko mkubwa ndani ya CCM kutokana na dhuluma walioufanyia upinzani sasa wanaenda kutafunana wenyewe kwa wenyewe
 
Moyo wangu unasema pambana hadi kieleweke, akili yangu inasema waachie washenzi wanaotaka hili litokee niondoke nitarudi Tanzania after 5 years wakiwa wameishanyooka wajue kosa wanalolifanya. Nilikuja kupig kura tu kumrudisha matako chato, hakuna haja ya kuendelea kukaa hapa na vilaza kila kona.

Ni either tukatae uchaguzi au watu wote wajitoe waache bunge liwe 100% ccm peke yake ili watu wanyoshwe kwelikweli wajue umuhimu wa upinzani maana hadi sasa hivi wanaomtetea jiwe wanahisi upinzani kama vile wametumwa na wazungu, watanzania ni washenzi sijawahi ona
 
Kiufupi ili CCM iondoke madarakani inatakiwa.
[emoji117]CCM IPASUKE VIPANDE VIPANDE
[emoji117]System iamue hapa TISS, JWTZ na TANPOL
[emoji117]WANANCHI TUAMUE

Kinyume na hapo haitawezekana eti Lema, Lissu na wengine kubadili chochote hasa kwa katiba tulionayo na system ya nchi ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…