Shida sana hiiCOVID what ?
USA ilitaka Waafrica waende bure for COVID WHAT management! Think my words
Hakika Wengi wana wanazo hizo nazoziita juhudi, ndiyo maana tuna ajili walimu kila iitwapo leo, na Miskitini wamtafuta Allah yumo ndani yao. na siyo mpaka wafike huko unako dhani na kutaka weye La hasha!. watu wana marengo na talanta tofauti tofauti maishani mwao. hapo walipo ndo walitaka wafike. hakika nataka ujue pasi shaka kuwa palipo na Allah! wa kweli hapashindwi kitu.Wangapi wana hizo unazoita Juhudi na Allah na hawajafika huko, how do you explain that ?
Jombii hujitambui na wala hujui unaongea nini bora kukaa kimya kuficha ujinga wako
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
The higher the IQ the low the EQ , umeonesha high Emotional hence low IQ.Jombii hujitambui na wala hujui unaongea nini bora kukaa kimya kuficha ujinga wako
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Find the place to break yo stress menThe higher the IQ the low the EQ , umeonesha high Emotional hence low IQ.
Am out.
Hakika Wengi wana wanazo hizo nazoziita juhudi, ndiyo maana tuna ajili walimu kila iitwapo leo, na Miskitini wamtafuta Allah yumo ndani yao. na siyo mpaka wafike huko unako dhani na kutaka weye La hasha!. watu wana marengo na talanta tofauti tofauti maishani mwao. hapo walipo ndo walitaka wafike. hakika nataka ujue pasi shaka kuwa palipo na Allah! wa kweli hapashindwi kitu.
Shida sana hii
Siyo kila Mtanzania anaye hudhuria training yeyote, na mahali popote Duniani , atokee Tanzania Unayoishi na kuijua weye! na si Wa TZ wote lazima watakwe au kudhaminiwa na USA, simple logic.
Hivi inamaana hatuwezi kubadilisha mitaala ya hizi shule zetu ziwe kama za kimataifa. Najiuliza tu. Kwani hatuwezi au ni nini shida
Uwezo wa kuajiri wengine unaweza kuwa ni kigezo kimoja wapo maana hata huko nje tunakokusifia si kwamba kila mtu kajiajiri. Lakini pia na wewe unaweza kuleta vigezo vingine na kuvijengea hoja badala ya kusema tu nilichoandika mimi hakitoshelezi.Je hao wanaosoma Kayumba wana msaada gani Kwa hao wakulima na wafugaji??
Kama hao wa IST Wana msaada kwao binafsi na familia zao..je Hilo sio Jambo jema??
Hao kina ASAs ni exceptional cases hata
Huko USA wanaofanikiwa kuanzisha biashara na kuajiri wengine ni asilimia moja tu..
Dhana ya elimu Bora isipimwe na uwezo wa kuajiri wengine
Mradi hawarudi kuwa mzigo Kwa jamii basi elimu imewasaidia
Usingekuwa unaandika hivi, kama Una pH kweli, andiko lako lisingejikita kututajia kuwa una Phd, bali ungeleta nini tufanye kuondoa mawazo ya walioleta madaMbona wengine tumesoma hizi hizi shule za sirikali, tena shule ya msingi kijijini kwa babu kuongea kilugha mwanzo mwisho lakini tumefanikiwa kupata scholorship kusoma Masters na PhD kwenye international universities ambazo zipo kwenye world ranking ya 10 bora, what happened?
I hear you Mkuu venine.Uwezo wa kuajiri wengine unaweza kuwa ni kigezo kimoja wapo maana hata huko nje tunakokusifia si kwamba kila mtu kajiajiri. Lakini pia na wewe unaweza kuleta vigezo vingine na kuvijengea hoja badala ya kusema tu nilichoandika mimi hakitoshelezi.
Kuhusu IST kuwa msaada kwao binafsi na familia zao, hayta wa Kayumba pia ni msaada kwao na familia zao kwa uwezo wao. Je tuishie kuwa kila mtu asome kwaajili ya maendeleo yake binafsi na siyo ya jamii? ndio purpose ya elimu?
Hoja yangu ilikuwa ni vigezo gani wanavyotumia kusema elimu hiyo ni bora zaidi (ukiacha uwezo wa kujieleza kwa kingereza). Nimewafikirisha tu kwamba angalau tutumie kigezo cha uwezo wa elimu kutatua matatizo yaliyopo kwenye jamii ya Tanzania whether imepatikana international au Kayumba. Kama elimu ya intenational haiwezi kutatua changamoto za jamii kama hii ya Kayumba maana yake ni kwamba Tanzania kama nchi tutazidi kuwa masikini. Elimu yoyote ile ingekuwa bora zaidi kama ingeweza ku deal na matatizo yaliyopo kwenye context yetu sisi waTanzania. Ni mtazamo wangu tu.
Mitahala ya kawaida ili kiwafanya watu kuwa na uwezo Mdogo wa kuhoji. Tanzania zaidi uijuavyoHivi inamaana hatuwezi kubadilisha mitaala ya hizi shule zetu ziwe kama za kimataifa. Najiuliza tu. Kwani hatuwezi au ni nini shida
nilitaka ni mjibu ila Kama angekuwa Mk254 joto la jiwe akimtimua kabla ya sisi kumuita.Hahaa itakuwa umemchanganya na MK254
ila msister mm naamni unayoyasema kwa sababu kwa upande wangu naona udsm inatoa walimu wazuri tu maana nilio bahatika kufundishwa na walimu hao walikua good kwa sababu walikua wanaelaza Hadi nje ya makaratasiSasa hao ninao wa fahamu walikuwa na bachelor ya kawaida wakaenda Soma master's udsm Kuna mmoja wa nje na sio kwamba yeye ana maajabu Hans tofauti na walimu wetu, pia Kuna walimu Hadi wa msingi. Mie mwenyewe nafanya international expert mbona nao hufundishwa pia na sie wabongo, wao wako tu fluently Ila hawana jipya, hata hzo shule ni mitaala yao tu tofauti na vile wanafunzi hufundishwa ubunifu zaidi ya ku cremisha kupata division/ GPA kubwa, same applies to vyuo vya nje vinafundisha zaidi ubunifu, na ku solve problem za kijamii kuliko huku kwetu watu wanasoma wafaulu.
ila msister mm naamni unayoyasema kwa sababu kwa upande wangu naona udsm inatoa walimu wazuri tu maana nilio bahatika kufundishwa na walimu hao walikua good kwa sababu walikua wanaelaza Hadi nje ya makaratasi
Majanga!Unajifariji tu. Scholarship unapata lakini haina maana kuwa ubora wako uko kama wa graduate wa IST. Walimu wanafundisha hapo chuo kikuu lakini hawawezi kujieleza kwa Kiingereza na wamepata skolaship za UK, US, Australia.. wamefanya PhD nk huko.
Haina shida wewe endelea kukuza Wabangaizaji wabaadae.Niache kula vizuri, niache starehe eti mtoto asome shule nzuri?
Atasoma hizo za baba ake
Boonge la point...Tatizo serikali ingekua na international schools zake ambazo ziko affordable
🤣🤣Niache kula vizuri, niache starehe eti mtoto asome shule nzuri?
Atasoma hizo za baba ake
ni kweli sema watu wengi hawajui kuwa tulikua na mfumo Bora mno ila niliambiwa waziri flani"x" alipewa rushwaKusoma ndio kila kitu. Tuliosoma kufaulu mitihani kama waganga wa kienyeji vile. Tunapenda kuendesha mambo kama tunapiga ramli chonganishi...Elimu yetu ilianza kuvurugika late 80's and 90's. Sasa hivi mtoto wa vidudu anasoma muda mrefu kuliko mwanachuo. Sijui wanachosoma ni nini