Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Mfano huo ni unawakilisha utaratibu wa shule nyingi za serikali na binafsi ambapo mchakato wa ujifunzaji na ufundishaji sio muhimu bali ufaulu katika mitihani ndio kipimo pekee cha mafanikio ya mwanafunzi, shule na walimu.
 
Lione hili nalo bichwa kama Lisu.

Kujieleza kwa kiingereza siyo kigezo cha kuelimika .

Kiingereza ni lugha tu kama kisukuma

Sio Kweli, English is not Su-**** language.
-
English ni Inteenational Language na ukikijua kwa ufasaha ni added advantage kwenye Safari yako ya maisha.
-
Ni kweli kujua English sio Ishara ya Akili nyingi but ukiwa umesoma na ukaweza kuongea English kwa Ufasaha maana yake wewe ni intellectuel na ni rahisi kuaminika.
-
Huwezi kuukataa ukweli huo kama una wish kufanya kazi internationally.
-
English is beautiful bwana. Ukijua English na kifaransa kwa Ufasaha, my friend usiwe na bahati tu .
-
Wenzetu wanapima intellectuel ya mtu kwa uwezo wake wa kujieleza kwa ufasaha.
 
Hiyo o'level ilikuwa ya kupangiwa na serikali. Lugha niliyo kuwa naiweza ni ya kijijini kwetu, kiswahili kuongea ni mpaka kuwe na gamba la konokono kuvalishwa shingoni (ongea kiswahili). Umeme niliujulia form one
 
Wanapewa mafunzo wakiwa kazini
 
Mkuu kuna world scholars kibao ambao hawajakanyaga hizo international schools na wanaheshimika kwenye field zao. Nafikiri hizo shule zimeanzishwa purposely kwa ajili ya watoto wa mabalozi kwenye nchi husika, hakuna jipya...
Jiulize, kwanini hao watoto wa mabalozi wasisome shule za mitaala ya nchi husika?
 
Nimewahi kufundisha shule za namna hii na kwa kweli ninakubaliana na hilo. Ukifanya ulinganisho wa namna ambavyo ujifunzaji unavyozingatia maendeleo ya mtoto katika nyanja zote katika shule za mitaala ya kimataifa, kwa upande wa pili wa mtaala wa serikali ni kama stadi na ujuzi wa kumuandaa mtoto wa karne ya 21 ni kama hazipo kabisa.
 
Mkuy unaongea ukweli mchungu, hizi Englisha medium ni uhuni mtupu tena mara 100 hata za Serikali, watu wanapumbazwa na Englisha.

International school kule hakuna kushindanisha watoto sijui wa kwanza na wa mwisho.

Wale wana fundishwa Exposure mtu kama MO angalia Exposure yake, linganisha na matajiri wengine wa kibongobongo
 
Hasara kuwa na Baba kama Wewe
Wee wasema ndugu,
Nimeshuhudia watu wanauza thamani zao, viwanja na mifugo yao, chakula cha akiba kisa eti mtoto asome, huo ujinga sifanyi....
Hata kama ntakua maskini sana siwezi jinyima kula au kuumiza kichwa kumnunulia mtoto madaftari, sare, viatu huku mi napata tabu, bora serikali wanipeleke jela....
 
Wanazalisha wajinga, wanao toka hapo ndo kwa sasa wanao sajili laini za Simu mitaani
 
Katika kundi la watu 100 mpo wangap?... Hizi shule ni majanga tu...mnasoma kwa shida sanaa, walimu wa baadhi ya masomo hakuna..yaani nakumbuka kipindi nasoma tumemaliza primary, tukachaguliwa seco hizi za serikal...kuna jamaa mmoja hakuja akaenda soma shule moja hvii kubwa...na inasifika kwa kufaulu...akatoboa kwa ufaulu mkubwa...wakati huku sisi wa serikali tunapambania kombe wenyewe kama watoto wa mbwa...so sad
 
Unaongea mtu mmoja mmoja, ila ukweli ni kwamba International school kule ndo kuna elimu
Mkuu kuna world scholars kibao ambao hawajakanyaga hizo international schools na wanaheshimika kwenye field zao. Nafikiri hizo shule zimeanzishwa purposely kwa ajili ya watoto wa mabalozi kwenye nchi husika, hakuna jipya...
 
Talent zipi nazani unazungumzia za Ku rap, Hahaaa tupe talent tofauti na za kuimba.

International watoto wanapata Exposure kubwa sana
Lakini mbona kibongo talent nyingi zinatoka kwa watu ambao ni masikini na wasio na elimu kubwa
Mbona hatuoni hao international wakiongoza kwenye fani nyingi zinazotumia vipaji sana
 
Hujamuelewa mtoa maada na sidhani kama utakaa umuelewe
 
Shida ni maccm kajojo na elimubure yao ambayo ni elimu MFU na ushahidi wa hilo ni kwamba kwenye hizo shule za elimu MFU huwezi kuwakuta watoto wa the so called waheshimiwa wa maccm au Serikalini.
Hivi inamaana hatuwezi kubadilisha mitaala ya hizi shule zetu ziwe kama za kimataifa. Najiuliza tu. Kwani hatuwezi au ni nini shida
 
Hii tushawahi fanyiwa...japo kwetu ilikuwa tofauti kidogo... Mwalim mkuu alitafuta wale wanafunzi ambao hawajiwezi kabisaaa ani...akawatia darasa moja afu wakawa wanafundishwa masomo machache mno, yaani kiswahili, english, history, civic .
 
Bado unazungumza mambo ya kusoma kujibu paper, International school watoto wana fundishwa kuelewa Dunia na vitu kama Exposure
 
Hao ulio wataja.wamesoma International school au walipelekwa nje kusoma mara baada ya kumaliza shule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…