kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,470
Kwanini uwaze kupunguza instead of training.., kama mwalimu ambae tayari anaujuzi ni rahisi kumtrain kuliko useme upunguze uajiri wapya,... kwa upande wa HR unahitaji kuondoa, kujengea uwezo, na kuajiri walimu zaidi ya 100,000 sio mchezo. Hao utakaowaondoa inamaanisha lazima "redundancy" ipite sasa malipo yake ndio balaa; piga hesabu hapo kila mmoja alipwe average 100,000,000 unazungumzia more than 10tr/- redundancy ya walimu halafu uanzishe ajira mpya ku-replace hao walioondolewa. Hiyo ni HR peke yake; njoo kwenye miundombinu; vitabu; n.k. Si mnataka ISO-certification?