Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Kwenye kuhojiwa hapo huwa naona kituko wote hao wakina Diamondi akihojiwa ni aibu tupu, hapo ni anahojiwa kiswahili sio Kingereza.

Ukweli hata tukihojia kwa kiswahili bado tunaonekana hakuna kitu kabisa
Si kweli. Tunaona changamoto sana kwa hawa waliosoma Kayumba na kubahatika kufika level za kimataifa kwenye kazi za kimataifa.
-
Wengine walifanikiwa kufika level hizo kwa Connection tu. Kwa mfano nafanya kazi na Mtanzania mwenzangu kwenye International Organizational nchini Nambia, huyu Mdada amepata kazi kwenye hiyo Organization kwa sababu tu Ndugu yake ni Balozi wa Namibia.
-
Imemlazimu kufanya short course kuanzia Lugha mpaka Communications Skills na nyinginezo kwa sababu yeye mwenyewe anajionea aibu.
-
Hizo International school zinawajenga watoto vizuri sana hata kwa KUFIKIRI na kujiamini na mzazi ukiwa msimamizi mzuri wa mtoto wako atafika mbali sana na atakuwa very presentable kwa fadhila za International Schools.
-
It is very serious issue sisi tulio kwenye International Organization tunaona mengi na tunaona changamoto ya Mfumo wetu wa elimu na Africa kwa Ujumla.
-
Ukiona Kayumba yupo kwenye hizi Organization na anafanya vyema ujue huyo kaji mix sana na anapenda kujifunza vitu mbalimbali au ana exposure ya maisha.
-
Kwanza sisi wabongo hata kuongea hatujui, sijui kwa nini ! Sio English wala Kiswahili, hatujui kuongea na wala hatufikirii tunachongea.
-
Ukitaka kuona hilo angalia wasanii wetu wanavyojibu maswali, angalia wachezaji mpira wakihojiwa akiwemo Samatha, zero kabisa, njoo kwenye ngazi za viongozi, zero kabisa, sio Kiswahili wala English.
-
Msanii anaejua kuongea vyema Kiswahili na English ni Sepetu na Vanesi na Kiongozi ni Mkapa na January tu.
-
Shida ipo sana eneo hili na ndio maana once it comes about International Interviews , yaani WATZD huwa ni wa mwisho na hapo unakuta mtu ana vyeti vizuri na pass Marks zake.
 
Umekuwa mbongo toka lini??
Geza Ulole njoo umuone mtu wako
 
Wanapewa mafunzo wakiwa kazini
.... whaaaaat! cariha you are not serious! Yaani mwalimu wa shule ya msingi Kimanzichana FIV (F-F-D-D-D-F-F) plus Teacher's Certificate Grade IIIA apewe mafunzo ya kuwa level ya mwalimu wa IST? Na hayo mafunzo atapatiwa na college zipi? Hizi hizi tunazozijua?
 
Daah nilikutana na mtoto wa shule hizi nikamuuliza una ndoto ipi akaniambia I want to be a UN SECRETARY.
Nikasema hawa kweli wanawaza international level.

mimi huwa nikipata muda naongea na watoto wa private schools mambo kadhaa na huwa wananijibu kwa ujasiri,wana uwezo wa kumake argument nk yani uwezo wao wa kufikili ma kuelewa ni mkubwa mno na hata tabia zao ni bora kuliko navowaona watoto wa shule za serikali
 
Hujanielewa. Hili siyo jibu kwa mtoa mada. Hili ni jibu kwa mchangiaji. Kwanza unajua maana ya numerator na denominator? Kama haujui maana yake, hauwezi kuelewa ninachokisema. Na sina muda wa kukuelewesha hizi basics.
Hujamuelewa mtoa maada na sidhani kama utakaa umuelewe
 
Kwenye kuhojiwa hapo huwa naona kituko wote hao wakina Diamondi akihojiwa ni aibu tupu, hapo ni anahojiwa kiswahili sio Kingereza.

Ukweli hata tukihojia kwa kiswahili bado tunaonekana hakuna kitu kabisa

That’s it . Hatujui Swahili wala English. Ni mavi mavi tu
 
Mtu ukiwa na hela ya kueleweka ama kama unataka kuwekeza kweli kwa watoto wako, wasomeshe international schools au shule zenye mitaala ya kimataifa.

Hizi shule zenye mitaala ya kimataifa zinawajenga watoto kwenye analytical skills, reasoning, logic, creativity, competence na mambo kama hayo.

Ukikutana na mtoto wa darasa la 6 wa hizi shule, reasoning yake ama analytical skills zake ni sawa na kijana wa form six wa necta schools.

Shule hizi hazilengi kuona mtoto anapata nini au maksi gani darasani bali kuibua talents nyingine alizonazo mtoto sio hizi za necta ambazo zimejikita kwenye ufaulu tu wa mwanafunzi.

Ukitaka kuwekeza kwenye elimu ya kweli kwa mwanao na kama uwezo upo peleka mwanao shule zenye mitaala ya kimataifa.
Umeeleweka na ni ukweli mtupu, master j, kajala, na wema walikotokea ni dalili nzuri kua kule zi kukimbilia kupata vyeti ukawe mwalim sijui utopolo gani serikalini huko kumbe wiz mtupy
 
Pia kama mjanja na huna hela ya international school unaweza tengeneza mwenyewe imagination yako

ukitaka mwanao awe fit kwenye maisha fanya hivi.. ishi maeneo ya mjini mjini ili iwe rahisi mtoto ku move sehemu muhimu, pia asijifunze tabia mbaya.. mjini mitaa ya wahindi ngumu mtoto kufundishwa tabia mbaya na majirani

mpeleke kayumba ya kistaarabu kama bunge na alimpio
 
Wee wasema ndugu,
Nimeshuhudia watu wanauza thamani zao, viwanja na mifugo yao, chakula cha akiba kisa eti mtoto asome, huo ujinga sifanyi....
Hata kama ntakua maskini sana siwezi jinyima kula au kuumiza kichwa kumnunulia mtoto madaftari, sare, viatu huku mi napata tabu, bora serikali wanipeleke jela....

Okay, na huyo Kwenye Dp ndio mtoto wako ?
 
Mbona wengine tumesoma hizi hizi shule za sirikali, tena shule ya msingi kijijini kwa babu kuongea kilugha mwanzo mwisho lakini tumefanikiwa kupata scholorship kusoma Masters na PhD kwenye international universities ambazo zipo kwenye world ranking ya 10 bora, what happened?

mleta mada anasema kwamba elimu yetu haimjengi mtu kuwa mbunifu au kupata mafanikio nje ya marks za darasani na level za elimu mfano kama wewe.wachunguze hao wenzio mliosoma nao nje je wamefanya mambo ya maana kwenye taifa au katika maisha yao binafsi ?
lakini pia asemacho mleta mada hakina usahihi katika maisha ya kila mtu
 
Kila Mtanzania bila shaka angependa mtoto wake asome International School of Tanganyika (IST) lakini wangapi wanaweza karo zake?
Naunga mkono hoja.
Kulipa ada ya milioni 40 kwa mwaka sio kazi ndogo,halafu badae akimaliza chuo aje kuhangaika kupata kazi ya mshahara wa laki 4 inakuwa hasara.
ukihesabu hiyo milioni 40 mara miaka 6 unajenga nyumba ngapi?
 
Mbona wengine tumesoma hizi hizi shule za sirikali, tena shule ya msingi kijijini kwa babu kuongea kilugha mwanzo mwisho lakini tumefanikiwa kupata scholorship kusoma Masters na PhD kwenye international universities ambazo zipo kwenye world ranking ya 10 bora, what happened?
Kuna utofauti kati y msingi mzuri wa nyumba, na nyumba nzuri kwa ujumla, acha kujifariji mtoa mada kaeleza kabisa namna mtaala ule unavyokua ukitoa mwanga mzima wa kujitegemea mzee.
Hiviulipokua primary mzee uliwahi soma music, fine art maybe na mengine kama horse riding sijui nini , matopen n kimataifa hazijawahhi kua pamoja.
Sina ada tu wangesoma tena nje ya Tz
 
Unaweza kuni DM namba zako. Tunatafuta wazazi kama nyie ili tuwatie viboko kwenye vichwa vyenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unajisumbua tu mkuu, ata ukintia viboko kazi bure
 
Tatizo serikali ingekua na international schools zake ambazo ziko affordable

mkuu ni easy sana serikali kujenga shule zenye hadhi kama hizo international school sema hawataki tu kufanya haya matatu
1.kujenga upya miundombinu mfano madarasa nk
2.kubadili mfumo wa ufundishaji
3.kuboresha maslahi ya walimu,ujue walimu wetu wana maisha magumo mno (japo wachache ni wajanja wanaishi kama maafisi wa serikali)
 
Kweli wewe umesoma shule za "sirikali". Hata bila ya kusema...

Back
Top Bottom