Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

K
Kwa hiyo nchi yenu ilivyo anaweza akaachiwa huru halafu akarambishwa U-DAS.
Just kama Bashite tu.
 
Alifanya kosa gani
 
Inaonekana wameshawafanyia watu uhalifu sana.

Ile video isingevuja wangezidi kuwafanyia wanachi uhalifu.

Inavyoelekea wameshabaka si mmoja kwa kigezo cha kuwa jwtz.

Hawa dawa yao wakikuzingua mtaani ni kutandika tu, akikuzidi tafuta hata jiwe piga. Shenzi kabisa.
 
Hamna kitu hapo tanzania hii haifungi askari yaani ufunge afande tanzania askari tanzania anapigiwa magoti demu kashaliwa na hamna watalofanywa hao
Na wale walimuua Fundikila mbona walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa wakaishia kujifia kwa maradhi jela,Bageni na cheo chake anasubiri kunyongwa mpaka kufaaaaa.Na wale wa Mtwara wanajaribu kuyumbisha kesi watanyongwa mpaka kufa ni issue ya muda tu.
 
Mjeshi lazima ujiamini. Huyo dogo hata mahabusu hakuna fara WA kumsogerea. Hata masoja WA magereza wanamkubali na wanampa ugali na beans la kutosha.

Madogo watashinda kesi na kurejea uraiani ingawa vyombo vyao vitawatema.
 
Na wale walimuua Fundikila mbona walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa wakaishia kujifia kwa maradhi jela,Bageni na cheo chake anasubiri kunyongwa mpaka kufaaaaa.Na wale wa Mtwara wanajaribu kuyumbisha kesi watanyongwa mpaka kufa ni issue ya muda tu.
Mimi sipendi uhalifu, na ninachukia kabisa walichokifanya hawa wanajeshi.


Lakini ukisoma kitabu cha THE EAGLE HAS LANDED, tunamuona Kanali Kuyt Steiner anapewa adhabu ya kuongoza kikosi cha parachuters 13 kwenda kumteka au kumuua kabisa waziri mkuu wa uingereza kipindi hicho, Sir. Winston Churchill.

Hii ilitolewa kama adhabu, kwa kanali Steiner na wenzake, baada ya kufanya makosa.

Nafikiri, tunatakiwa kuiga kitu kama hiki kama taifa. Tujiulize, tunafaidika nini kama taifa kwa kumfunga jela Nyundo na wenzake?

Ninamaanisha, hawa ni askari waliopata mafunzo maalumu kwa kutumia kodi zetu. Wakifia jela, na kodi zetu zinakuwa zimefia jela.

Kwa nini wasipewe ''asainimenti'' ngumu, ili iwe kama adhabu kwa makosa yao?

Wapewe kazi ya kwenda kulitetea taifa hata afghanistan huko kupigana na wataleban, kama adhabu.
 
Unaleta mambo ya vitabu na Netflix kwenye criminal case ambayo 90 ya facts zipo.Anayechomoka ni afande afisa.
 
Alikuwa akijifariji tu.
Ataweza kukumbuka sura za watu baada ya miaka 30?

Hata hivyo alijibiwa kibabe na huyo mwandishi mhuni... 'Uje kunioa'...
 
Unaleta mambo ya vitabu na Netflix kwenye criminal case ambayo 90 ya facts zipo.Anayechomoka ni afande afisa.Subiri jumatano ijayo.
Soma vizuri nilichoandika.

Mimi ninapendekeza wazo, ambalo linaweza kuwa na faida kwa nchi. Kama halipo kwny sheria liwekwe.

Mwanajeshi akifanya kosa, apewe adhabu ya kwenda kupigana na Al shababu huko Somalia.

Najaribu kupendekeza kitu chenye faida, kumnyonga au kumfunga maisha, haileti faida yeyote. cc@Kiranga
 
Tukiachana na uhalifu wao, hiyo ni nzuri.


Askari hatakiwi kuwa mnyonge, until the last drop of blood, he should be proud.

Nafikiri umenielewa ninachotaka kueleza hapa.

Ninaona kwamba askari wetu wa TPDF wanapata mafunzo stahiki.
Kiburi na kujiamini ni vitu viwili tofauti. Kiburi kimemfanya asijue neno au Jambo la kusema mbele ya umati ule.
Ni wazi kichwani hamna kitu yule.
 
Kiburi na kujiamini ni vitu viwili tofauti. Kiburi kimemfanya asijue neno au Jambo la kusema mbele ya umati ule.
Ni wazi kichwani hamna kitu yule.
Hapana, kuna kitu hujaelewa mkuu.

Askari jeshi, anafundishwa kutoa lugha isiyo sahihi, ili yule aliyemteka apate hasira na afanye maamuzi yasiyo sahihi.

Sijui kama unaelewa ninachojaribu kueleza hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…