kunguni masta
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 142
- 179
Wamejaa kwenye 18 wasifungwe wakati ni masikini tu haoHao hawana bahati.
Mvua ya miaka lazima waile.
Ndio maana kesi inaendeshwa siku Tano tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejaa kwenye 18 wasifungwe wakati ni masikini tu haoHao hawana bahati.
Mvua ya miaka lazima waile.
Ndio maana kesi inaendeshwa siku Tano tu.
Kwa hiyo nchi yenu ilivyo anaweza akaachiwa huru halafu akarambishwa U-DAS.Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.
Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.
Achana na ushahidi wa video uliopo.Na waliombaka wakikana, huyo shahidi atadhibitishaje
Hajamtishia maisha mzee acha kubambikia kesi , si umemsikia cameraman ameitikia “si utanioa”Huyu dogo anastahili msshtaka mengine ya kutishia maisha
Huyo dogo ni serviceHilo ndiyo haiba ya maafande wa jeiwii kwa 95%.
Alifanya kosa ganiNikikumbuka binamu yangu alikuwa akijiamini hivi hivi lakn mwisho wa siku akapigwa 30, Sina hamu.
Tulipokata rufaa ndio Kwanza akaongezewa shtaka lingine na miaka ikaongezwa mitano jumla 35. Ndio Kwanza amemaliza miezi 6.
Tangu hapo nikajifunza mahakamani si pakuleta mizaha.
Na wale walimuua Fundikila mbona walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa wakaishia kujifia kwa maradhi jela,Bageni na cheo chake anasubiri kunyongwa mpaka kufaaaaa.Na wale wa Mtwara wanajaribu kuyumbisha kesi watanyongwa mpaka kufa ni issue ya muda tu.Hamna kitu hapo tanzania hii haifungi askari yaani ufunge afande tanzania askari tanzania anapigiwa magoti demu kashaliwa na hamna watalofanywa hao
Sio uraiani2 watarudi kaziniDuh aiseee hivyo anajiamini watashinda na kurudi uraiani
Mimi sipendi uhalifu, na ninachukia kabisa walichokifanya hawa wanajeshi.Na wale walimuua Fundikila mbona walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa wakaishia kujifia kwa maradhi jela,Bageni na cheo chake anasubiri kunyongwa mpaka kufaaaaa.Na wale wa Mtwara wanajaribu kuyumbisha kesi watanyongwa mpaka kufa ni issue ya muda tu.
Unaleta mambo ya vitabu na Netflix kwenye criminal case ambayo 90 ya facts zipo.Anayechomoka ni afande afisa.Mimi sipendi uhalifu, na ninachukia kabisa walichokifanya hawa wanajeshi.
Lakini ukisoma kitabu cha THE EAGLE HAS LANDED, tunamuona Kanali Kuyt Steiner anapewa adhabu ya kuongoza kikosi cha parachuters 13 kwenda kumteka au kumuua kabisa waziri mkuu wa uingereza kipindi hicho, Sir. Winston Churchill.
Hii ilitolewa kama adhabu, kwa kanali Steiner na wenzake, baada ya kufanya makosa.
Nafikiri, tunatakiwa kuiga kitu kama hiki kama taifa. Tujiulize, tunafaidika nini kama taifa kwa kumfunga jela Nyundo na wenzake?
Ninamaanisha, hawa ni askari waliopata mafunzo maalumu kwa kutumia kodi zetu. Wakifia jela, na kodi zetu zinakuwa zimefia jela.
Kwa nini wasipewe ''asainimenti'' ngumu, ili iwe kama adhabu kwa makosa yao?
Wapewe kazi ya kwenda kulitetea taifa hata afghanistan huko kupigana na wataleban, kama adhabu.
Alikuwa akijifariji tu.Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.
Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.
Wa kike.Huyo mwandish kwanza ni wa kike au wa kiume?
Soma vizuri nilichoandika.Unaleta mambo ya vitabu na Netflix kwenye criminal case ambayo 90 ya facts zipo.Anayechomoka ni afande afisa.Subiri jumatano ijayo.
Kiburi na kujiamini ni vitu viwili tofauti. Kiburi kimemfanya asijue neno au Jambo la kusema mbele ya umati ule.Tukiachana na uhalifu wao, hiyo ni nzuri.
Askari hatakiwi kuwa mnyonge, until the last drop of blood, he should be proud.
Nafikiri umenielewa ninachotaka kueleza hapa.
Ninaona kwamba askari wetu wa TPDF wanapata mafunzo stahiki.
Hapana, kuna kitu hujaelewa mkuu.Kiburi na kujiamini ni vitu viwili tofauti. Kiburi kimemfanya asijue neno au Jambo la kusema mbele ya umati ule.
Ni wazi kichwani hamna kitu yule.