Mungu sio mjinga kumwandikia.mtu aseyejua kusoma na kumwandikia uongoNichanganye na zangu kwa kujiongeza kivipi?Kwamba Kurani haijaandikwa na Mungu na kisha kufungwa na kupewa Malaika Gabrieli na kisha akawa anasoma mstari mmoja baada ya mwingine kwa Muhammad?
Unampangia Mungu cha kufanya ww nan anakupangia kufanya yako?Na inawezekanaje Mungu aendelee kuona watu hatumuelewi kwa aya hiyo na hivi watu tunajikuta tunatoa tafsiri potofu juu ya Jua kutua katika matope na yeye anaendelea kuangalia tu mambo yakiharibika namna hiyo bila kuchukua hatua?Je,kwa ni kwa nini hatoi "manuals" za kufafanulia mapema iwezekanavyo?
Mbona aya iko wazi rejea 18:83
Ugumu huko wap?Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asiwawekee viumbe wake anaowapenda urahisi?
Muhammad hajadanganya hao wanasayansi ndo waongo ndo maana mpaka leo hawana jibu la ulimwengu uliundwa vp? Vitu haviwezi kukaa katika order bila kupangwa
Imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote awazibe watu fulani macho na masikio, awafanye mioyo yao iwe mizito ili wasimjue, kwa makusudi.Wap kajipinga kimantiki tuanzie hapo
Mungu anamsimulia hadithi ya dhul qarnainiView attachment 814878 Aya kweli iko wazi! Msemaji hiyo aya nani?
Watu wanakufa wanatengeana na wapenzi wao, familia zao marafiki.Ugumu huko wap?
inashangaza kwakweliNa inawezekanaje Mungu aendelee kuona watu hatumuelewi kwa aya hiyo na hivi watu tunajikuta tunatoa tafsiri potofu juu ya Jua kutua katika matope na yeye anaendelea kuangalia tu mambo yakiharibika namna hiyo bila kuchukua hatua?Je,kwa ni kwa nini hatoi "manuals" za kufafanulia mapema iwezekanavyo?
Mfano uliotoa mzuri sana unajibiwa kama ifuatavyo baba ndio umchagulia mtoto jina wala mtoto amchagulii baba jina mamlaka ya baba awez kuvaa mtoto hivyo hivyo mungu anafanya awezavyo kwa mamlaka yakeImekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote awazibe watu fulani macho na masikio, awafanye mioyo yao iwe mizito ili wasimjue, kwa makusudi.
Halafu awahukumu watu hao hao kwa sababu hawajamjua.
Ni sawa na baba anayekataza wanawe kusoma shule na kujifunza kusoma, anawafungia ndani wasiende shule wala kushika kitabu.
Halafu wakiwa hawajui kusoma (kwa sababu baba kawanyima nafasi ya kusoma) huyu baba awaadhibu kwa sababu hawajui kusoma.
Huyo baba nikisema ni chizi nitakuwa nimekosea?
Inakuwaje mungu afanye mambo kama chizi?
Akili yako sio muongozo wa mungu fahamu Mungu ana mambo yakeWatu wanakufa wanatengeana na wapenzi wao, familia zao marafiki.
Wwatu wanaumwa magonjwa.
Wwanapatwa na majanga, matetemeko, vita, moto, mafuriko, tsunami, wana umasikini, ujinga etc.
Mungu wako mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, alishindwa kuumba ulimwengu ambao yote hayo hayawezekani?
inawezakana ikawa sio yeye anayehitaji kitabu kuelezewa bali sisi ndio tunavihitaji kumuelewa,kama tunavyohitaji vitabu kuelewa elimu nyengine kama biolojia fizikia etc.Mungu mjuzi wa yote , mwenye uwezo wote na upendo wote anayehitaji kitabu na kuandikwa kwa hadithi ni wa kutungwa na watu tu.
Angekuwepo kweli, asingehitaji kitabu kuelezewa.
Unaelewa kwamba hujajibu swali la kwa nini Mungu amewanyima watu kumjua halafu anawaadhibu kwa kutomjua?Mfano uliotoa mzuri sana unajibiwa kama ifuatavyo baba ndio umchagulia mtoto jina wala mtoto amchagulii baba jina mamlaka ya baba awez kuvaa mtoto hivyo hivyo mungu anafanya awezavyo kwa mamlaka yake
Rejea andiko vizuri dhul qarnaini ndie alieona jua likizama kwenye matope Mungu alikuwa akimpa mtume masimulizi juu ya kile dhul qarnaini alichoona kwa upeo wa macho yake
Umeona sasa mohamadi ndio aliulizwa na watu kuhusu dhul qarnaini na Mungu anamsimulia kama dhul qarnaini alivyoona na alivyofanya ilo swali lako watu awakumuuliza mtume hakuwa na sababu ya kulijibu uelewi niniNi sawa na ndio na sisi tunauliza hivi: Kama Dhul-Qarnaini ndiye aliona Jua likizama kwenye matope kwa kadri ya upeo wake wa macho na Mungu naye aliona vile vile au vipi? Je,ina maana baada ya Dhul-Qarnaini kuona Jua likizama matopeni ina maana ndiye alimueleza Mungu kwamba nimeona Jua likizama katika matope meusi? Na kama ndivyo, Mungu naye aliona ni sahihi kumusimulia hivyo hivyo Muhammad wakati Mungu anajua fika Jua haliwezi kuzama katika matope na Mungu anafahamu hivyo kwa sababu ni yeye aliyeliumba Jua?
Umeona sasa ilo swali mtume akuulizwa hakukuwa na sababu ya kulijibu halafu nimekwambia alieliona ni dhul qarnaini kwa upeo wa macho yakeKumbe,Muhammad ndiye anasema ukweli.Vizuri sana.Kwa hiyo, ni sehemu gani hapa Duniani ambako hilo Jua huzamia katika matope? Au Jua limeacha siku hizi kuzama kwenye matope?
kwamantiki hii niwazi una kili kwamba muonaji ambaye ni dhur qArnain hakuwa sahihi"" lakini Mungu alishindw kulionA hilo kuwa jamaa hkuwa sahihi" then akadiriki kumuelezea muhhamad taarifa za dhur qarnaini" Huku akijua wazi kuwA dhur qarnaini hakuw sahihi"" halafu hilo jua aliliona akiwa wapi aisee ??" hapa ndio panaponivurugaSio kila macho inachoona ni sahihi lakn alieona jiwe lazima useme aliona jiwe kama muonaji alivyoona kwa upeo wake
Hili jibu linaitwa "deus ex machina".Akili yako sio muongozo wa mungu fahamu Mungu ana mambo yake
Mimi nilivyosoma Quran nikakutana na aya inasema kuna watu Mungu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue, akawaziba macho na masikio wasimjue, halafu Mungu huyo huyo atawahukumu watu hao hao kwa kutomjua Mungu, nikaona hiki kitabu ni cha kijinga sana.
Umeandika kwa mifano na mm nimejibu kwa mifano kipi ujaelewaUnaelewa kwamba hujajibu swali la kwa nini Mungu amewanyima watu kumjua halafu anawaadhibu kwa kutomjua?