Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Naona mnahamisha magoli.

Jielekeze kwenye mnakasha mkuu! Mungu alimpa Muhammad hadithi ya tukio ya Dhul-Qarnaini (Alexander the Great) kuona Jua likitua katika matope sehemu gani hasa hapa duniani? Je,Mungu alimpa Muhammad kisa hicho ili iweje na kwa faida ya nani hasa?
 
Ni sehemu gani sasa hapo lilipotua Jua halafu akawakuta hao watu? Ni sehemu gani mahali hapo duniani? Na watu gani hao au ni akina nani ambao walikuwa hapo Jua lilipotua kama njia ya kuwa-iedentify?

hahaaa jua linavyounguza hiviiiiii "" na hapo ndio " lipo mbali mnoooo", halafu wanasema", kuna watu waliolisogelea"" wakaliona likiwa limekaa kwenye matope"", hahaaaaa

Kiranga
 
Mimi nilivyosoma Quran nikakutana na aya inasema kuna watu Mungu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue, akawaziba macho na masikio wasimjue, halafu Mungu huyo huyo atawahukumu watu hao hao kwa kutomjua Mungu, nikaona hiki kitabu ni cha kijinga sana.
 
Mimi nilivyosoma Quran nikakutana na aya inasema kuna watu Mungu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue, akawaziba macho na masikio wasimjue, halafu Mungu huyo huyo atawahukumu kwa kutomjua Mungu, nikaona hiki kitabu ni cha kijinga sana.
hahahaa " majuzi nilimueleza " jamaa mmoja hivi kuhus hiyo aya unayosema yeye ni Muslim " daaahh alinijia juu ile mbaya"" ni rafiki yngu mnooo " lakini " nilikuwa naona wazi kuwa urafiki wetu unataka kuingia dosari
 
Mimi nilivyosoma Quran nikakutana na aya inasema kuna watu Mungu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue, akawaziba macho na masikio wasimjue, halafu Mungu huyo huyo atawahukumu watu hao hao kwa kutomjua Mungu, nikaona hiki kitabu ni cha kijinga sana.
mtazamo wako tunauheshimu ila tujadili nkilichopo hizo aya umezielewa?
 
masoud mshahara ", ulamaa wa kiislam kutanA hapa na kiranga
 
Kama aya za kitabu cha Mungu zinahitaji msuli kuzielewa basi huyo Mungu kashindwa kazi na katungwa na watu tu, hayupo.

Aangekuwepo, aya zake zisingehitaji kueleweka kw amsuli.

As a matter of fact, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote haandikwi kwenye kitabu.

Kwa sababu ana access ya moja kwa moja kwenye ubongo wa kila mtu, kwa nini aandikwe kwenye kitabu?

Ukiona Mungu huyo kandikwa kwenye kitabu, ujue ni watu tu wameandika hizo habari.

Kwa nini Mungu asiweke kila kitu wazi kwa kila mtu kwenye ubongo wa kila mtu bila kuhitaji kitabu, sijui tafsiri kutoka lugha fulani na utata mwiiingi?

Mungu huyo hayupo, aliyeandikwa katungwa na watu tu.
 
Unamuonesha mtu makosa ya Quran, anakwambia hujaelewa aya.

Hii habari ya "hujaelewa aya/ tafsisri" ni defense ya kawaida sana katika kutetea uongo ukiwabana hawa watu.

Halafu ni defense ya kijinga.

Haelewi kwamba habari nzima ya mimi kutoelewa aya ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote inaonesha Mungu huyo hayupo.

Aangekuwepo, hakuna mtu ambaye asingeelewa neno lake lolote.
 
wala hakuna msuli ndugu yangu aya iko wazi sema mtoa mada ameleta ujuaji tu
 
mkuu hiyo aya umeilewa vizuri ? nimekuja ulamaa wa kiislamu kuondoa matatizo yenu

Karibu Ulamaa na moja kwa moja jielekeze kwenye hoja.Hoja ni kwamba Muhammad haneni ya kutoka katika kichwa mwenyewe bali kwamba yeye anarudia tu yale aliyosema Mungu.Sasa ni kweli Mungu, alimuona Dhul-Qarnaini(Alexander the Great) akiliona Jua likitua katika matope?
 
Unamuonesha mtu makosa ya Quran, anakwambia hujaelewa aya.

Hii habari ya "hujaelewa aya/ tafsisri" ni defense ya kawaida sana katika kutetea uongo ukiwabana hawa watu.

Halafu ni defense ya kijinga.

Haelewi kwamba habari nzima ya mimi kutoelewa aya ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote inaonesha Mungu huyo hayupo.

Aangekuwepo, hakuna mtu ambaye asingeelewa neno lake lolote.
Mawazo yako ni mfu ataelewaje asietaka kuelewa
 
wala hakuna msuli ndugu yangu aya iko wazi sema mtoa mada ameleta ujuaji tu
Aya haiko wazi, ndiyo maana mimi naona inajipinga.

Ingekuwa wazi, nisingeona inajipinga.

Na aya ambayo hata inawezekana tu kuonekana inajipinga (hata kama haijipingi, ile kuonekana tu inajipinga) haiwezi kuwa aya ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu Mungu huyo asingeshindwa kuifanya aya yake ieleweke kwa watu wote bila kuonekana inajipinga.

Ile aya kuonekana inajipinga tu inaonesha Mungu huyo hayupo.
 
Mawazo yako ni mfu ataelewaje asietaka kuelewa
Kama kweli nina mawazo mafu, basi hilo nalo linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba kiume cheneye mawazo mafu.
 
Unamuonesha mtu makosa ya Quran, anakwambia hujaelewa aya.

Hii habari ya "hujaelewa aya/ tafsisri" ni defense ya kawaida sana katika kutetea uongo ukiwabana hawa watu.

Halafu ni defense ya kijinga.

Haelewi kwamba habari nzima ya mimi kutoelewa aya ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote inaonesha Mungu huyo hayupo.

Aangekuwepo, hakuna mtu ambaye asingeelewa neno lake lolote.
naaam nikweli" kama anataka umjue kwanini akuandikie aya zenye mafumbo mafumbo wakati anajua kuwA hutoweza kumuelewa" kwanini asitumie uweza wake wa yote" kutoa aya ambayo itaweza kuelewka na watu wote" ili iweze Kuwa rahisi kwa wao kuweza kumuelewa ""
 
Karibu Ulamaa na moja kwa moja jielekeze kwenye hoja.Hoja ni kwamba Muhammad haneni ya kutoka katika kichwa mwenyewe bali kwamba yeye anarudia tu yale aliyosema Mungu.Sasa ni kweli Mungu, alimuona Dhul-Qarnaini(Alexander the Great) akiliona Jua likitua katika matope?
Rejea andiko vizuri dhul qarnaini ndie alieona jua likizama kwenye matope Mungu alikuwa akimpa mtume masimulizi juu ya kile dhul qarnaini alichoona kwa upeo wa macho yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom