SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
- Thread starter
-
- #121
Naona mnahamisha magoli.
Ni sehemu gani sasa hapo lilipotua Jua halafu akawakuta hao watu? Ni sehemu gani mahali hapo duniani? Na watu gani hao au ni akina nani ambao walikuwa hapo Jua lilipotua kama njia ya kuwa-iedentify?
Mimi nilivyosoma Quran nikakutana na aya inasema kuna watu Mungu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue, akawaziba macho na masikio wasimjue, halafu Mungu huyo huyo atawahukumu watu hao hao kwa kutomjua Mungu, nikaona hiki kitabu ni cha kijinga sana.hahaaa jua linavyounguza hiviiiiii "" na hapo ndio " lipo mbali mnoooo", halafu wanasema", kuna watu waliolisogelea"" wakaliona likiwa limekaa kwenye matope"", hahaaaaa
Kiranga
mkuu hiyo aya umeilewa vizuri ? nimekuja ulamaa wa kiislamu kuondoa matatizo yenuKwa hiyo, Muhammad ndiye msema kweli juu ya Jua? Tuonyeshe hiyo sehemu hapa duniani ambako kuna matope meusi na ambamo ndimo Jua linazama.
hahahaa " majuzi nilimueleza " jamaa mmoja hivi kuhus hiyo aya unayosema yeye ni Muslim " daaahh alinijia juu ile mbaya"" ni rafiki yngu mnooo " lakini " nilikuwa naona wazi kuwa urafiki wetu unataka kuingia dosariMimi nilivyosoma Quran nikakutana na aya inasema kuna watu Mungu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue, akawaziba macho na masikio wasimjue, halafu Mungu huyo huyo atawahukumu kwa kutomjua Mungu, nikaona hiki kitabu ni cha kijinga sana.
mtazamo wako tunauheshimu ila tujadili nkilichopo hizo aya umezielewa?Mimi nilivyosoma Quran nikakutana na aya inasema kuna watu Mungu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue, akawaziba macho na masikio wasimjue, halafu Mungu huyo huyo atawahukumu watu hao hao kwa kutomjua Mungu, nikaona hiki kitabu ni cha kijinga sana.
masoud mshahara ", ulamaa wa kiislam kutanA hapa na kirangaMimi nilivyosoma Quran nikakutana na aya inasema kuna watu Mungu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue, akawaziba macho na masikio wasimjue, halafu Mungu huyo huyo atawahukumu watu hao hao kwa kutomjua Mungu, nikaona hiki kitabu ni cha kijinga sana.
Mbona una muhukumu mohamadi kwa kitu ambacho hakusema izi aya muwe mnazisoma vizuriKwa hiyo, Muhammad ndiye msema kweli juu ya Jua? Tuonyeshe hiyo sehemu hapa duniani ambako kuna matope meusi na ambamo ndimo Jua linazama.
Wanasoma maandiko kwa machale machale nataka mtu aje aniambie kaelewaje iyo sura 18 aya ya 83 adi 86Muhammad hajadanganya hao wanasayansi ndo waongo ndo maana mpaka leo hawana jibu la ulimwenguni uliundwa vp? Vitu haviwezi kukaa katika order bila kupangwa
Kama aya za kitabu cha Mungu zinahitaji msuli kuzielewa basi huyo Mungu kashindwa kazi na katungwa na watu tu, hayupo.mtazamo wako tunauheshimu ila tujadili nkilichopo hizo aya umezielewa?
Kiranga ni mtu wa kuchangamsha mjadalamasoud mshahara ", ulamaa wa kiislam kutanA hapa na kiranga
Unamuonesha mtu makosa ya Quran, anakwambia hujaelewa aya.masoud mshahara ", ulamaa wa kiislam kutanA hapa na kiranga
wala hakuna msuli ndugu yangu aya iko wazi sema mtoa mada ameleta ujuaji tuKama aya za kitabu cha Mungu zinahitaji msuli kuzielewa basi huyo Mungu kashindwa kazi na katungwa na watu tu, hayupo.
Aangekuwepo, aya zake zisingehitaji kueleweka kw amsuli.
As a matter of fact, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote haandikwi kwenye kitabu.
Kwa sababu ana access ya moja kwa moja kwenye ubongo wa kila mtu, kwa nini aandikwe kwenye kitabu?
Ukiona Mungu huyo kandikwa kwenye kitabu, ujue ni watu tu wameandika hizo habari.
Kwa nini Mungu asiweke kila kitu wazi kwa kila mtu kwenye ubongo wa kila mtu bila kuhitaji kitabu, sijui tafsiri kutoka lugha fulani na utata mwiiingi?
Mungu huyo hayupo, aliyeandikwa katungwa na watu tu.
mkuu hiyo aya umeilewa vizuri ? nimekuja ulamaa wa kiislamu kuondoa matatizo yenu
Mawazo yako ni mfu ataelewaje asietaka kuelewaUnamuonesha mtu makosa ya Quran, anakwambia hujaelewa aya.
Hii habari ya "hujaelewa aya/ tafsisri" ni defense ya kawaida sana katika kutetea uongo ukiwabana hawa watu.
Halafu ni defense ya kijinga.
Haelewi kwamba habari nzima ya mimi kutoelewa aya ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote inaonesha Mungu huyo hayupo.
Aangekuwepo, hakuna mtu ambaye asingeelewa neno lake lolote.
Aya haiko wazi, ndiyo maana mimi naona inajipinga.wala hakuna msuli ndugu yangu aya iko wazi sema mtoa mada ameleta ujuaji tu
Kama kweli nina mawazo mafu, basi hilo nalo linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Mawazo yako ni mfu ataelewaje asietaka kuelewa
naaam nikweli" kama anataka umjue kwanini akuandikie aya zenye mafumbo mafumbo wakati anajua kuwA hutoweza kumuelewa" kwanini asitumie uweza wake wa yote" kutoa aya ambayo itaweza kuelewka na watu wote" ili iweze Kuwa rahisi kwa wao kuweza kumuelewa ""Unamuonesha mtu makosa ya Quran, anakwambia hujaelewa aya.
Hii habari ya "hujaelewa aya/ tafsisri" ni defense ya kawaida sana katika kutetea uongo ukiwabana hawa watu.
Halafu ni defense ya kijinga.
Haelewi kwamba habari nzima ya mimi kutoelewa aya ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote inaonesha Mungu huyo hayupo.
Aangekuwepo, hakuna mtu ambaye asingeelewa neno lake lolote.
Rejea andiko vizuri dhul qarnaini ndie alieona jua likizama kwenye matope Mungu alikuwa akimpa mtume masimulizi juu ya kile dhul qarnaini alichoona kwa upeo wa macho yakeKaribu Ulamaa na moja kwa moja jielekeze kwenye hoja.Hoja ni kwamba Muhammad haneni ya kutoka katika kichwa mwenyewe bali kwamba yeye anarudia tu yale aliyosema Mungu.Sasa ni kweli Mungu, alimuona Dhul-Qarnaini(Alexander the Great) akiliona Jua likitua katika matope?