Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ha matope gani juu lizamie?
Kisayansi maji ni H2o sasa maji yakikaribia jua molecules za hydrogen na oxygen zina separate through evaporation .
Jua ina composition kubwa ya hydrogen na oxygen ikiongozeka combustion (burning) ina take place

Huo ndio ushahidi wangu
Huo wa kuzama kwenye tope ni mawazo ya kitoto na ya kijima
Duh ulisha yashuhudia haya au ndio bado uko na fikra za watu weupe.
 
Bahati mbaya zaidi baada ya miaka kadhaa kupita navyo vitaonekana ni uongo kama vinavyoonekana vingine. MATERIALISM BELIEVED IN THEIR OWN PROVED FACTS NOT FROM OTHER.
Umevisoma au unabashiri jumla jumla tu?

Hujathibitisha Mungu yupo bado.
 
Kwani katika aya hiyo ambayo nimeinukuu ni nani anayeongea hapo? Ni Muhammad au Mungu pekee? Je,Ni Mungu na Muhammad au Dhul-Qarnaini? Ni nani anayemueleza Muhammad kuwa ikiwa kuna watu wanakuuuliza habari za Dhul-Qarnaini,sisi tutakupatia historia yake? Naomba utueleze ni nani hasa hapo anayempa Muhammad stori za Dhul-Qarnaini.Ikiwa ni Mungu,si ina maana ndiye aliyemuona Dhul-Qarnaini akiliona Jua likizama katika matope au vipi? Na kama Mungu aliliona Jua likizama katika matope kama alivyoliona Dhul-Qarnaini ni wapi kuna utata au uongo? Na kama ndivyo,nimekosea wapi kusema Muhammad ndiye aliyeliona Jua likizama katika matope?Hivi huelewi kuwa Muhammad anasema kwa kinywa cha Mungu yale yale ambayo Mungu aliyaona?
Hapo kwenye aya ya mwisho kabisa "............ambayo Mungu aliyaona" !!!!!!!??
Mungu haoni na haitaji kuona.. Mungu anajua kila ktu kabla hakijatokea sababu vyote anaamua yeye kipi kitokee na kwa wakat gan.
 
Hahaha naona wewe ndio ushapata mlango wa kutokea kwa kutafuta kuhamisha mjadala , si umeona sasa nilikusihi kwenye paragraph ya mwisho na hukunielewa.. hahaha eti ili Muhammad apate picha gani, kumbe hata hujui hiyo habari ya Dhil Qarnain ilianzaje mpaka ikafikia hapo, eti 300 BC ndo umeona ajabu, na ya manabii wengine yaliyozungumzwa kwenye Qur'an kina Adam, Noah, Idriss, Daud, Solomon, Ibrahim, Musa mbona hujajiuliza ilikuwa B.C ngapi ? Yaani hapo ndo umedhihirisha uko mtupu kwenye masuala haya... Mkuu bora utafute mada nyingine ya kujadili, hii itakuwa too big for you my dear bro..
Kwa iyo mkuu unamaanisha jamaa ana mwili wa erick omondi alafu analazimisha kuvaa 'pichu' ya lemutuz[emoji50]
 
Bahati mbaya zaidi baada ya miaka kadhaa kupita navyo vitaonekana ni uongo kama vinavyoonekana vingine. MATERIALISM BELIEVED IN THEIR OWN PROVED FACTS NOT FROM OTHER.
Shukurani ya Punda mateke.

Hapa unatumia teknolojia zinazotokana ma sayansi hiyo hiyo unayoiponda.
 
Mimi nilivyosoma Quran nikakutana na aya inasema kuna watu Mungu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue, akawaziba macho na masikio wasimjue, halafu Mungu huyo huyo atawahukumu watu hao hao kwa kutomjua Mungu, nikaona hiki kitabu ni cha kijinga sana.
Umepita juu juu sana
 
Umevisoma au unabashiri jumla jumla tu?

Hujathibitisha Mungu yupo bado.
Sijaonge kuhusu mungu kwenye comment yangu hebu isome vizuri. Nachotaka kukuuliza hivyo vitabu yaliyoandikwa humo umeyaprove mwenyewe isije ikawa nao ni makajanja kama huyo Muhammad au Yesu.
 
Umepita juu juu sana
Hilo nalo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo angeweka neno lake kwenye DNA. Hakuna mtu angelipitia juu juu.

Kama yupo, kwa nini hakufanya hivyo?
 
Kama kweli nina mawazo mafu, basi hilo nalo linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba kiume cheneye mawazo mafu.
Kwa iyo wew unataka mshahara bila kufanya kaz! !![emoji113]
 
Sijaonge kuhusu mungu kwenye comment yangu hebu isome vizuri. Nachotaka kukuuliza hivyo vitabu yaliyoandikwa humo umeyaprove mwenyewe isije ikawa nao ni makajanja kama huyo Muhammad au Yesu.
Soma ujihakikishie mwenyewe tujadili hapa.

Ukiniuliza mimi halafu nikakudanganya, kama hujasoma utajuaje?

Au kama nimeelewa vibaya nikakupotosha, utajuaje?

Soma na wewe utoe chako kutokana na ulivyosoma.

Usisubiri kutafuniwa na mtu.
 
Swali la msingi la mtoa mada limejibiwa sasa aya mengine sijui hakuna Mungu mara mohamad sijui kaongea na mungu yafunguliwe uzi mwengine pia tutayajibu hakuna matata
Hiwezi kuyajibu kwa sababu huna jibu.

Huna jibu kwa sanabu huyo Mungu hayupo.

Acha kusingizia uzi mwingine.
 
Yani jamaa kaandika uzi alafu tayari kajiandalia na majibu ya na tayari ana mtazamo wake kaja kuweka hapa ili watu wajue mtazamo wake juu ya jambo husika sasa yote ya ya nini si ungebaki na mtazamo wako huko huko unasoma Quran masaa matatu then unajifanya umeshaielewa yote angali aya moja inafanyiwa tafsiri takribani siku nzima
 
Mungu huyo angekuwepo, asingetupa gharama isiyo na lazima ya kuhitaji kitabu kumuelewa.

Angetuumba ubongo tayari umesha download habari zote za kitabu kumuelewa.

Ukiona unaambiwa kuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote, halafu habari zake zimeandikwa katika kitabu, jua huyo aliyeandikwa kwenye kitabu si huyo Mungu anayesemwa.

Kwa sababu Mungu mjuzi hivyo, mwenye uwezo hivyo na upendo hivyo angetupa yote yaliyo katika kitabu katika vichwa vyetu tusingehitaji kuhangaika kujifunza lugha nyingine, kutafsiri, kubishana kuhusu tafsiri na uhjinga mwingine mwingi.

Kwa nini atupe kazi ya ziada viumbe wake anaotupenda wakati ana uwezo wa kurahisisha mambo hayo kwa kutupa kila kitu kichwani?
Kwa sababu alijua watatokea vichwa ngum km wew ambao utawapa lift kweny gari alafu bado atakuuliza mbona gari lako huwashi AC
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom