subiri uone
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 753
- 624
🤣🤣🤣 Kichapo mpaka unaamisha magoli kwenye Uislamu 🤣🤣Ngumu kivipi, ? Biblia inamuita mama wa makahaba na inatoa muongozo wakujitenga nae
Roma ndiye muasisi wa mafundisho mengi ya kipagani Hadi kwenye uislamu wanahusika
Kuwa mzushi ni kuwa katika kundi, lakini pia kutokuwa mzushi ni kuwa katika kundi pia....Ni lazima kuwa na kundi?
Nimerekebisha , kabla ya yesu ,Hadith za mwanamke bikra kuzaa mtoto ambae ni kristo zipo tangu misri ,India na ugiriki yake , unafahamu hilo?Yenu waislamu?😂😂
ilikuwa wapi sema tu
Sipo kundi lolote , ndio maana nikakuuliza kwani kuwa kwenye kundi ni lazima?Kuwa mzushi ni kuwa katika kundi, lakini pia kutokuwa mzushi ni kuwa katika kundi pia....
Haya niambie wewe upo katika kundi gani?
Bado kuna vitu umeaachaKuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano:
#1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8).
Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa.
Katika maandishi yake, alitofautisha kati ya waseja, wajane, na waliotalikiana. Alijitambulisha wazi kuwa yeye ni mtu pekee yaani aliyeamua kuishi kiseja.
#2. Biblia haisemi kuhusu mke au mtoto yeyote wa mtume paulo. Inataja wake za Petro na mitume wengine (1 Kor. 9:5) lakini kamwe haitaji mke wa Paulo.
Paulo aliwataja watu wengi kwa majina lakini hakutaja hata mara moja kuhusu mke wake au watoto wake, hakufanya hivyo kwa sababu hakuwahi kuwa katika mahusiano ya ndoa.
Ukimya wa Maandiko unazungumza kwa sauti kubwa - Paulo alitumikia katika utumishi bila kuoa , na alitumika vyema kabisa(1 Kor. 7:32-35).
Kuna wazushi fulani huzusha kwamba mtume Paulo alikuwa na mke ila walitengana - and ikiwa wewe ni miongoni mwao basi leta hapa uthibitisho wa ndoa ya mtume Paulo ukiambatanisha na maandiko.
Paulo alikuwa na akili sana...alijua tuu kuwa ndoa ni ubatiliKuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano:
#1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8).
Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa.
Katika maandishi yake, alitofautisha kati ya waseja, wajane, na waliotalikiana. Alijitambulisha wazi kuwa yeye ni mtu pekee yaani aliyeamua kuishi kiseja.
#2. Biblia haisemi kuhusu mke au mtoto yeyote wa mtume paulo. Inataja wake za Petro na mitume wengine (1 Kor. 9:5) lakini kamwe haitaji mke wa Paulo.
Paulo aliwataja watu wengi kwa majina lakini hakutaja hata mara moja kuhusu mke wake au watoto wake, hakufanya hivyo kwa sababu hakuwahi kuwa katika mahusiano ya ndoa.
Ukimya wa Maandiko unazungumza kwa sauti kubwa - Paulo alitumikia katika utumishi bila kuoa , na alitumika vyema kabisa(1 Kor. 7:32-35).
Kuna wazushi fulani huzusha kwamba mtume Paulo alikuwa na mke ila walitengana - and ikiwa wewe ni miongoni mwao basi leta hapa uthibitisho wa ndoa ya mtume Paulo ukiambatanisha na maandiko.
“Nataka watu wote wawe kama mimi nilivyo. Lakini kila mtu ana kipawa chake toka kwa Mungu, mmoja hivi, mwingine vile. Lakini nawaambia wale wasiooa na wajane, ni heri wakae kama mimi.”
Umekula lakini?Sipo kundi lolote , ndio maana nikakuuliza kwani kuwa kwenye kundi ni lazima?
Kuna mahusiano gani na mimi kuwa au kuto kuwa kwenye kundi?Umekula lakini?
Wewe jamaa acha kutia chumvi kwenye akili ya mtumePaulo alikuwa na akili sana...alijua tuu kuwa ndoa ni ubatili
Kwajicho la mbali Paulo alitaka kuhalalisha zinaa bila kuoa watu wangejazaje dunia bila kuzini?Paulo alikuwa na akili sana...alijua tuu kuwa ndoa ni ubatili
Zipi hizo ,ninazojua Mimi ni hizi ,👇👇Nimerekebisha , kabla ya yesu ,Hadith za mwanamke bikra kuzaa mtoto ambae ni kristo zipo tangu misri ,India na ugiriki yake , unafahamu hilo?
Unanitusha?Wanja walipaka waarabu kabla mtume Muhammad (saw) halafu jikite kwenye mada utume Paulo alipewa na nani ikiwa Yesu sio Mungu?
Halafu uje Kwa step mm sio size yako halafu jibu Kwa summary acha kuniandikia magazeti kama tabia Yako ilivyo
Kumbe wewe ni kiazi unaropoka uongo wa chatgpt, unikumbushe nikutafutie vitabu usomeZipi hizo ,ninazojua Mimi ni hizi ,👇👇
Misri ya kale: Hadithi za Horus, mwana wa Osiris na Isis. Lakini Isis hakuwa bikira; alihusiana na Osiris.
India: Kuna simulizi za Krishna, lakini mama yake Devaki hakuwa bikira – alikuwa ameolewa na Vasudeva.
Ugiriki: Hadithi za Perseo na wengineo mara nyingi zinahusiana na miungu kama Zeus kufanya ngono na wanawake. Hizo hazikuwa mimba safi wala bikra, bali ngano za miungu kuzini na binadamu.
👉hakuna hata moja kati ya hizi mytholojia inayofanana na unabii wa Biblia wa bikira kuzaa. Zote zina mchanganyiko wa ngono za miungu, uchawi, au tafsiri za kishirikina.
Weka hoja yako vizuri
Dah hapa ndio unapofeli ,Kumbe wewe ni kiazi unaropoka uongo wa chatgpt, unikumbushe nikutafutie vitabu usome