Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Napaka na navaa shida ipo wapi?Kabla hatujaenda kwa Paulo ,
Je wewe unaruhusiwa kupaka WANJA ,? Mbona hupaki
Je unaruhusiwa kuvaa nguo za mkeo kama , muhamad alivaa za aisha
Twende taratibu unakimbilia wapi, kwahiyo unavaa gauni la mkeo🤣 kama SunnaNapaka na navaa shida ipo wapi?
Rudi kwenye mada Paulo utume alimpa nani ?
Mimi sijasema hivyo bwashee ,hayo ni yako🤣🤣🤣🤣Sema dini ni project za watu kupiga pesa
Nishasema sana humu ,dini ni projectMimi sijasema hivyo bwashee ,hayo ni yako
Ukisema wewe bila uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni blalbla tuNishasema sana humu ,dini ni project
Nina jamaa yangu Leo anajiita Nabii chamungu anapiga sana pesa
Sio gauni hadi chupi navaaTwende taratibu unakimbilia wapi, kwahiyo unavaa gauni la mkeo🤣 kama Sunna
Unaoneka ushazidiwa kwani Yesu si alisema kutakuwa na Manabii wa uwongo Mungu lazima awe na mfumo wake wa kuabudiwa na ndiyo Dini, na lazima lazima ufuate huo mfumo(Dini) ili ulipwe lazima ufuate vigezo na masharti.Nishasema sana humu ,dini ni project
Nina jamaa yangu Leo anajiita Nabii chamungu anapiga sana pesa
Unajua maana ya neno diniUnaoneka ushazidiwa kwani Yesu si alisema kutakuwa na Manabii wa uwongo Mungu lazima awe na mfumo wake wa kuabudiwa na ndiyo Dini, na lazima lazima ufuate huo mfumo(Dini) ili ulipwe lazima ufuate vigezo na masharti.
Mkuu unapenda kudanganya watu sana, haupo unajiona think tankUnajua maana ya neno dini
Unajua lilianza kutumika lini ?
Kwanini kabla ya Muhammad hakuna kitu kinaitwa dini?
Ukijua maana ya dini utaelewa,Dini ni UTAPELI
Kwamba uwe farisayo na usioe?
Paulo alikuwa na wake zaidi ya mmoja baada ya kuoka akawatelekeza wote.
Mwisho wa kunukuu
Jibu hoja kuonesha nadanganyaMkuu unapenda kudanganya watu sana, haupo unajiona think tank
Neno dini lilitumika kabla hata ya uslam sema lilikua maarufu na maana Pana zaidi kipindi Cha Muhammad (saw) vingnevyo utakua maamuma mropokajJibu hoja kuonesha nadanganya
Sasa hapo unataka Aya gani mkuuUmenukuu aya gani?
Ukweli ni kwamba neno "dīn" (دين) kabla ya Uislamu halikutumika moja kwa moja kumaanisha dini ya Kikristo au Kiyahudi kwa maana tunayoijua leo.Neno dini lilitumika kabla hata ya uslam sema lilikua maarufu na maana Pana zaidi kipindi Cha Muhammad (saw) vingnevyo utakua maamuma mropokaj
Sasa hapo umejibu nn? mbona unajifunga palepale nilipoandika mm kuwa neno dini lilikuwepo tangu zamani alipokuja mtume Muhammad( saw) ndo maana ikawa Pana zaidiUkweli ni kwamba neno "dīn" (دين) kabla ya Uislamu halikutumika moja kwa moja kumaanisha dini ya Kikristo au Kiyahudi kwa maana tunayoijua leo.
Kabla ya Uislamu (kipindi cha Jahiliyya)
Waarabu walilitumia dīn kwa maana ya desturi, mfumo wa maisha, sheria za kabila au hukumu.
Mfano,katika mashairi ya kabla ya Uislamu, waliposema “dīn al-malik” walimaanisha mfumo wa sheria ya mfalme/hukumu yake.
Kwa hiyo haikuwa ikimaanisha dini hizi Ukristo,Uyahudi n.k
Qur’an ilipoanza kushuka, neno dīn lilipanuliwa maana yake kufikia dini za kimbingu (Ukristo, Uyahudi, Uislamu).
Mfano: “Inna dīna ʿinda Allāhi al-Islām” (Qur’an 3:19) – Yaani: Hakika dini sahihi mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.
Pia Qur’an inawatambua Mayahudi na Wakristo kuwa na dīn zao, ndiyo maana ikaelezwa: “Lakum dīnukum wa liya dīn” (109:6).
Baada ya Uislamu kusambaa,Ndipo dīn likaanza kutumika waziwazi kurejea dini zote Uyahudi, Ukristo, Uislamu na hata ushirikina.
Kwa Waarabu na Waislamu wa mwanzo, “dīn” haikumaanisha tu “imani ya mtu binafsi” bali mfumo mzima wa maisha, sheria na ibada.
Najifunga wapi ,nilikwambia dini kurejea Ukristo na Uyahudi,n.k imekuja na Mudy, before hakuna mtu Aliyekuwa anaziita dini hizi Ukristo, Uyahudi n.k elewa hivoSasa hapo umejibu nn? mbona unajifunga palepale nilipoandika mm kuwa neno dini lilikuwepo tangu zamani alipokuja mtume Muhammad( saw) ndo maana ikawa Pana zaidi
Halafu jifunze kusummarize nishakuambia mara nyingi kuandika MANENO mengi sio kuwa na hoja nzuri