Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Daah niliwahi kumwambia wife, ukijichanganya ukaonda, sitaoa Tena.
 
I will be very pleased If these words of yours will relieve your pain.
Looks like you have a very serious health problem.
Mbolimboli dang'o mpuli nyo.
2377287_whycantigiveallthesefucks_jpegd7957a538f4894d0bc5558a86f1897ab.jpeg
 
Nikiwa kama private investigator hii stry naihisi iko kinyume na ulivyopata stry, itakua ww unajua kuhusu kifo cha jamaa au jamaa kakupa stry ya uongo ili kuficha ukweli, kwa mtazamo wangu Huyo jamaa hakujiuwa ameuliwa
Nani kamuua mkuu? Tupe story kamili huenda wewe unaufahamu ukweli zaidi
 
Mungu wangu, eeeeehh huyo Mkurugenzi afukuzwe kazi na kushitakiwa kabisaaaaaa na kufungwa ikibidi, eeeh Mungu tenda miujiza yako kuanzia sasa na huyo mwanamke awekwe chini ya uchunguzi na ulinzi, haki itendeke jamani, nafahamu serikali yetu iko macho sana eeeh Mungu hakuna linaloshindikana kwako.
 
Hii yote inatokana na huu ujinga “Mke wangu anafanya kazi ili tusaidiane maisha”!!!well atakusaidia mpaka kuwahi kuuona udongo na eleweni hakuna duniani kitu kama hiko.

Vijana mkiendelea kukimbia majukumu yenu mliyoandikiwa kwamba mtatafuta ridhiki za familia zenu huku wake zenu mliowaowa wakiwazalia watoto na kuwaangalia kwa ukaribu majumbani mwenu basi mtagongewa sana na mtakufa na kuuwa mpaka akili zenu ziwakae sawa.

Kizazi hiki kinataka kupambana na nature jambo ambalo ni kosa kubwa sana
 
Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Hakuna kitu km hicho, huyo Mwanamke kamkuta jamaa ana mali kibao za urithi, Baba na ukoo wanazo, Dada mtu alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya juu kabisa Serikalini sembuse Mashemeji ni wababe ambao wanaweza mnyanyua dakika yoyote huyo Binti kwa aina yoyote

Nsoji Go Nvaa Story yako ina ukweli kama 75% hawa wafipa kina Mxxxxfi hawawezi muacha kwani katika nyumba hizo km ghorofa la Kikuyu Dadamtu kahusika vilivyo na Mke kalikuta na jamaa alikuwa hata kazi hana, hiyo ngazi ya uhasibu hajafikia bado mpaka mauti yalipomfika.

Ulevi alikuwa nao km mawazo ya kugongewa huenda ikawa chanzo, lakini huwezi lewa pombe ukaenda jifungia vioo vyote katika gari pale Morena, lazima utakosa hewa hata km umewasha AC.

Mke wa jamaa atakuwa mjinga kama karudi na mtoto wa Mkurugenzi, kwani Kesi ya Mirathi haiwezi isha mapema hivi sembuse ya mauaji

Hata hivyo tumefunguka mengi sasa kwa huyu jirani yangu hapa IR rd
 
Ndoa ina mambo mengi sana si ya kusikiliza upande mmoja. wakiwepp wote wawili unaweza pata story ikakusahangaza kabisa . Ni kumuombea alale salama ila haya mengine tumuachie Mungu. unaweza kaa na huyo mwanamke akakuhadithia story zap na ukatokwa na machozi.
 
Jamaa kafa kirahisi kweli pamoja na kuwa mtu wa Sumbawanga dah!
Ndo hivyo michepuko muhimu kwa wanaume. Wazee wetu walipokuwa wakimantain polygamy waliona mbali Sana..
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44].... Malipo ni hapa hapa... Karma is bitch
 
Back
Top Bottom