Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bei ya radi pale sumbawanga ni 1500/=Kijana wa sumbawanga kapotea kirahisi tu sababu ya boss kuharibu?haiwezekani....hakutakua na revenge hapa kweli?
R.I.P...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ya radi pale sumbawanga ni 1500/=Kijana wa sumbawanga kapotea kirahisi tu sababu ya boss kuharibu?haiwezekani....hakutakua na revenge hapa kweli?
R.I.P...
I will be very pleased If these words of yours will relieve your pain.Zero fuc.ks given.
Mbolimboli dang'o mpuli nyo.I will be very pleased If these words of yours will relieve your pain.
Looks like you have a very serious health problem.
Huyu jamaa nilisoma naye darasa moja, jina lake halisi Ni Deogratius Maufi, yeye alikaa Uzunguni, Mimi Soko Matola, tulimuita Deo MabutiAmecheza na watubwa sumbawanga ataona moto wa kina Bujibuji
Kijana wa sumbawanga kapotea kirahisi tu sababu ya boss kuharibu?haiwezekani....hakutakua na revenge hapa kweli?
R.I.P...
Kumbe mama wa nyumbani ndo mana unacomment ugoro humu kila siku. NyambafuHakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Nani kamuua mkuu? Tupe story kamili huenda wewe unaufahamu ukweli zaidiNikiwa kama private investigator hii stry naihisi iko kinyume na ulivyopata stry, itakua ww unajua kuhusu kifo cha jamaa au jamaa kakupa stry ya uongo ili kuficha ukweli, kwa mtazamo wangu Huyo jamaa hakujiuwa ameuliwa
Hakuna kitu km hicho, huyo Mwanamke kamkuta jamaa ana mali kibao za urithi, Baba na ukoo wanazo, Dada mtu alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya juu kabisa Serikalini sembuse Mashemeji ni wababe ambao wanaweza mnyanyua dakika yoyote huyo Binti kwa aina yoyoteHakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Na ukoo wa Maufi ulivyomkubwa,hakika wachawi hawakosekani humo,ngoja waje kivingine.Huyu jamaa nilisoma naye darasa moja, jina lake halisi Ni Deogratius Maufi, yeye alikaa Uzunguni, Mimi Soko Matola, tulimuita Deo Mabuti
Biashara ya kuoa siku hizi imekufa kabisa wala haifai.Mnatutisha sasa tusioe jaman