Kisheria za utumishi wa Umma kwa uhamisho huo huyu jamaa alipaswa kulipwa disturbance allowance tu( posho ya usumbufu kwa kuhamishwa kituo cha kazi) kwasababu umbali wa kituo kipya anachoenda hauzidi kilometa 5 na yuko ndani ya mji mmoja!! Ukipiga hesabu ili upate hiyo disturbance allowance ya 26M ina maana Gross Salary yake kwa mwezi ni Tsh 21,666,666/=. Sasa hapa najiuliza huyu jamaa alikuwa na mshahara huu kwa mwezi? Huu ni Wizi!! Kwa sababu alishajulikana naomba TAKUKURU waingie kazini Akazitapike hela hizo na alioshirikiana nao. Watu hamuwalipi mafao yao kazi kuwazungusha tu kumbe mijitu yenyewe Mijizi tu!! Nina hasira sana!!! Anayeweza peleka information hii TAKUKURU apeleke fasta!!
[emoji51][emoji51][emoji51]