Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
we kinakuuma nini acha unoko famba we.
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Si mlisema serikali ya JPM ndio serikali nzuri kushinda zote zilizopita? Mkajinasibu kuwa hakuna rushwa wala mlungule,,hamkuishia hapo mkasema sasa wanyonge na masikini kama mlivyo wabatiza kuwa sasa shida zao kwisha

MUGABE.jpg
 
Mbwembwe tu hizo mbona yeye mwenyewe JPM alishindwa kutapika 1.5 trillion alishindwa kutapika hela za kivuko kibovu kilichonunuliwa akiwa waziri wa ujenzi tena wizara yake ndiyo ilikinunua? alishindwa tapika nyumba aliyompa hawara yake?
Mv Dar es Salaam , hahaaaaa iliisha hivihivi kama wingu vile, hatari sana nchi hii
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.

Kisheria za utumishi wa Umma kwa uhamisho huo huyu jamaa alipaswa kulipwa disturbance allowance tu( posho ya usumbufu kwa kuhamishwa kituo cha kazi) kwasababu umbali wa kituo kipya anachoenda hauzidi kilometa 5 na yuko ndani ya mji mmoja!! Ukipiga hesabu ili upate hiyo disturbance allowance ya 26M ina maana Gross Salary yake kwa mwezi ni Tsh 26,666,666/=. Sasa hapa najiuliza huyu jamaa alikuwa na mshahara huu kwa mwezi? Huu ni Wizi!! Kwa sababu alishajulikana naomba TAKUKURU waingie kazini Akazitapike hela hizo na alioshirikiana nao. Watu hamuwalipi mafao yao kazi kuwazungusha tu kumbe mijitu yenyewe Mijizi tu!! Nina hasira sana!!! Anayeweza peleka information hii TAKUKURU apeleke fasta!!
[emoji51][emoji51][emoji51]
 
Kisheria za utumishi wa Umma kwa uhamisho huo huyu jamaa alipaswa kulipwa disturbance allowance tu( posho ya usumbufu kwa kuhamishwa kituo cha kazi) kwasababu umbali wa kituo kipya anachoenda hauzidi kilometa 5 na yuko ndani ya mji mmoja!! Ukipiga hesabu ili upate hiyo disturbance allowance ya 26M ina maana Gross Salary yake kwa mwezi ni Tsh 21,666,666/=. Sasa hapa najiuliza huyu jamaa alikuwa na mshahara huu kwa mwezi? Huu ni Wizi!! Kwa sababu alishajulikana naomba TAKUKURU waingie kazini Akazitapike hela hizo na alioshirikiana nao. Watu hamuwalipi mafao yao kazi kuwazungusha tu kumbe mijitu yenyewe Mijizi tu!! Nina hasira sana!!! Anayeweza peleka information hii TAKUKURU apeleke fasta!!
[emoji51][emoji51][emoji51]

Sorry hiyo Gross salary yake ukipiga hesabu ni 21,666,666.
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Ikiwa chini ya CCM, so laumu CCM na siyo nchi.
 
Hii nchi ni kama kisamvu cha makaburini, kila mtu anachuma tu!
 
Milioni 26 inatujazia uzi wakati Ummy anatumia Mabilioni kukarabati nyumba
 
Sioni Cha ajabu katoka HQ kuelekea mkoani. We mtafute upate bia mbili tatu utoe stress.
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Unashangaa 26m erio na genge lake wakiwa ppf walikuwa wanajilipa hadi 500m kila baada ya miaka miwili ilopelekea chief account kufukuzwa kwa kutaka kuingilia wizi ule,
Sasa kaja nssf kwenye fedha anafanya wizi na watu wake,
Sasa mfano huyo meneja wa Temeke inasemekana aliunda saccos feki na kujitwalia 400m yeye na wenzake matokeo yake walimpongeza kwa kumpa Umeneja pamoja na kua taarifa zote walipewa kumhusu.
Nadhani ilikua ni sehemu ya kupitisha rushwa kuwafikia watezi wake.
Huyo ananuka rushwa hadi ya ngono kwa watumishi walio chini yake, walinzi wa kike nk
Huku kubebwa hadi lini.
DG mpya fanya mambo
 
Back
Top Bottom