Mkuu angeshindwa kutoa huduma kwa mtu ambaye si dini yake huko kazini hapo kweli tungeona kosa ila alichofanya sioni kuhusiana na kazi yake.lazima afukuzwe kazi mana anaowahudumia ni watu na wanadini na miongini mwao waislam wakiwepo,
amekiuka maadili ya kazi
hawezi toa huduma kwa usawa that why anachuki ya kidini
Mtumishi wa Serikali aliyechana Quraan Tukufu asimamishwa kazi, Taarifa hiyo imetolewa leo na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo.
RPC Morogoro Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kukamatwa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Daniel Maleki, kwa kosa la kuchana na kuchoma moto kitabu cha Juzuu Amma ambacho ni sehemu ya Quran Tukufu.
“Maleki ni Afisa Biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, alionekana akichana na kuchoma kitabu hicho Kitakatifu cha dini ya Kiislamu, kitendo ambacho kiliwakasirisha Waumini wa dini hiyo na wananchi waliokuwa maeneo hayo na kuamua kutoa taarifa kwa Polisi” RPC Mutafungwa.
Muheshimiwa Jafo amesema, Mtumishi huyo yuko chini ya ofisi ya Rais na jambo alilofanya halileti afya kwa jamii. Muheshimiwa Jafo amemtaka mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilosa kumsimamisha kazi mtumishi huyo pia afanye uchunguzi na kamati au mamlaka yake ya nidhamu iweze kuchukua hatua kadiri atakavyoona inafaa mara baada ya uchunguzi huo
Kumbe sio kweli bwana..mtu hawi chizi Wala Nini...hence provedNilikuwa nasikia ukichana hio unakuwa chizi, kumbe fix tu!
Nikajua una hoja ya kupinga kumbe una lalamika.Vyovyote vile alivyo fanyiwa huyo jamaa kwenye hilo tukio ni unyama, hiyo sio dini ni unyama tu.
Uchawi unathibitishwa kivipi?
Wameuwa mtu asie kuwa na hatia kama kosa lake ni uchawi.
Kitwanga ulevi umemtoa uwaziri muhimu sana, hilo nalo la kujisifu?Ndio,Kitwanga na mimi hapa!
Kwani Muhammed na mwamposa wana tofauti ganiHuwezi kulinganisha watu wanaokanyagana makka na hao wanaokanyagana kisa mafuta ya nabii feki. Pure nonesense
Sent using Jamii Forums mobile app
waislam wa eneo hilo.ukitaka kujua akili za wengine fuatilia michango yao wengi kwenye mitandao ya kijamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hii dunia tunaoishi kwa raha ni tusiofungamana, juzi wazee Wa "Daddy I Receive" walikua na kibarua cha kumtetea Mwamposa, leo wavaa pedo na makubazi wana kibarua cha kutetea makaratasi
Kujitakia presha za bure tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hakuambiwa ukiichana utajiua yeye aliambiwa ukichana utakufa....au ulitaka amsaidie allah mwa kujiua?Mbona hakujiua,ili pia ajuwe kama kuchana Qur'an,waenda motoni kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa unahekima sana, natamani Wafuasi wa muhammad wangelikuwa na hekima kama yako hata huko Middle East pangekuwa shwari. Ila shida, waislam wa aina yako ni wachache sana.
Happy dude [emoji67][emoji538]
Hicho kitabu mmiliki wake ni nani?
Kama ni kitabu chake hana kosa.
Huo ni uonevu kumshtaki au kimhukumu mtu kwa hisia za watu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Muhammed na mwamposa wana tofauti gani
Mungu ndo uchafu gani?
Karatasi lenye maandishi linawafanya mnakosa utu?
Fala na bwege kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe sio kweli bwana..mtu hawi chizi Wala Nini...hence proved
Nabii tittoAlinununia akachana au alimpora mtu akachana.?
Kosa alilofanya ni kuchana mbele za watu hafu kuna wajinga wakawa wanamchukua video.
Angenunua hafu angeenda kuchania nyumbani nani angejua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si inakera lakini kwa mtu anaeamini kwamba Yesu ni Mungu? Reference ya imani ya mtu mwingine inaweza kutumika kwa imani ya mtu mwingine?Haiwezi kumwachia , yule kasema( kaandika) kutokana imani yake anaweza akatoa reference lakini yy kaichana Quran ,sijui Ana reference gani