Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Yes hiyo ni kweli , Bob Marley ni schoolar kuliko profesa wa jalalani
 
amechana karatasi yenye maandishiya Qurani...

Ndio amechana Qur'aan yenyewe.

Waislamu wenye kulichukulia jambo hili kwa jazba, hawana elimu juu ya Uislamu wao, hilo mosi.

Pili,kuna kitu kilichopelekea hili, tumeusiwa sana tusioende mijadala ya dini, kwani mara nyingi hupelekea kutukaniwa vipenzi vyetu (Allah, mtume wetu, na mitume na manabii wengine na waja wema walio pita). Kwahiyo tunatakiwa kujiepusha na mijadala hasa sisi ambao hatuna elimu ya hii dini.

Tatu, uvumilivu jambo la msingi sana ukiwa katika nchi kama hizi ambazo hazitawaliwi kiislamu, kwani kuondoa udhia katika nchi kama hizi kunataka elimu na maarifa mapana tena kwa kuangalia faida na hasara.

Nne, ningekuwa mimi ndio mwenye mamlaka, huyo mtu ningemuachia, ila najua Allah aliye juu hatomuacha hivi hivi, atamlioa stahiki yake tu kwa namna anayoijua Allah.
 
Aliyefuta kafuta hadharani?Hata huyu,angechana mafichoni,nani angemuona?Na yasingemfika hayo,yakukaa korokoroni.
Kiini cha hoja yangu umekiona? Hivi kabla ya utaalam wa kuchapisha kutokea Quran ilikuwa unaijuaje kwamba hii ni Quran? Maana enzi za mtume Mohamed (S.A.W) mitambo ya uchapishaji haikuwepo?

Na wale wanaohifadhi Quran nao ni mpaka wawe na kitabu kilichochapishwa ndiyo useme kwamba wana Quran? Sisi wengine tumekuzwa na waislam kweli kweli wanaoiheshimu dini yao haya mambo tunayajua kwa kiasi chake. Nasema huyo kijana kakosea lakini si sahihi kumharamisha kama watu wanavotaka itokee.
 
Hili suala mkuu halina tofauti na la Nabii Tito ambaye alikamatwa pasina sababu ya msingi toka,toka siku ile niliona kabisa jinsi hii serikali inavyojihusisha na masuala ya kidini.
Mwambie aache mihemuko kama ndivyo mbona kwenye swala la tito yeye kama waziri hakuhusika ila kamanda wa polisi wa mkoa husika mbona na swala la morogoro asimwachie kamanda wa mkoa huo,jaffo asijisahau cheo alichonacho ni dhamana kwa watanzania asitugawe watanzania kwa ujinga wa mtu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja zako nimezipenda SANA kwani zimejaa mantiki ya hali ya juu sana. Lakini hebu tuanzie hapa, Qur'aan nini?

Waarabu wanasema Qur'aan ni masdari mzizi wa neno, husemwa "Qaraa Yaqrau Qur'aanaan"

Qur'aan ni maneno ya Allah aliyo mpa mtume wake wa mwisho Muhammad amani ya Allah iwe juu yake, na muongozo kwa umma huu.

Wanazuoni wengine husema Qur'aan ni maneno ya Allah na si kiumbe.

Tosheka na maelezo haya machache.
 
Kitwanga ulevi umemtoa uwaziri muhimu sana, hilo nalo la kujisifu?

Imo katika Biblia, Mithali 20:1 "Mvinyo hudhihaki, kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima."
Ni suala la hekima tu ya mtu,ila ulabu twanya sana na huingizia taifa mapato mengi sana!
 
......miaka ile ya 1990 - 2020 ... kilosa pangechimbikaaaaa....ka yale ya mwembe chai
 
Tatizo limechukuliwa kidini zaidi, je hiyo Kitabu ilikuwa ya nani? Je wakati anachoma kulikuwa na mabishano? Tusifanye vitabu vya dini kama hirizi
 
Kwa nini wamemuacha wasingempiga jambia moja la kichwa.
This is why i don't like Islam.
Hao watu wameonyesha ukomavu na uvumilivu wa kiimani wa hali ya juu.

Au hivyo ndivyo Mungu wenu anawafundisha?
 
Swadaqta wa Amanata... Ndg mpendwa usijiangushe wala usijshushe..hiyo hoyo ilmu ulanayo ina msingi mwema na imara katika dini hii adhimu... hapa IMANI ya KIISLAM ndiyo thamani itakayo kubeba hapa duniani na Akher inshaAllah ..
nimeridhishwa na maelezo yako... Shukran jazeeln.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…