Ulabu mtamu,Mwenyezi Mungu atatusamehe tu!Si hekima pekee. Soma...
1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Unakumbuka ile kesi ya yule kijana aliesema Yesu si Mungu?, wakati wa Mwinyi..Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea una kiu ya kumwaga damu!Ana bahati alikuwa amezungukwa na mabwege wakati akifanya upuuzi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zambi ya kuuwa unaijua?Hawatahukumiwa kabisa endapo walitekeleza hili
Marko:16.16
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Yule kwani alikuwa mfanyakazi? Alisimamishwa kazi?Unakumbuka ile kesi ya yule kijana aliesema Yesu si Mungu?, wakati wa Mwinyi..
Kwani yule jamaa alifungwa kwa kifungu gani cha sheria?..
sasa kwanini ulimuuliza hao manabii wa mwanzo watahukumiwa kwa lugha gani?Mungu ninayemwamini amuhukumu mtu wa lugha yake, jinsia yake wala matendo yake maovu Mungu ninayemwamini anamuhukumu mtu kwa sababu moja tu ya kutokumuamini Kristo.
Matayo:28.19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Matayo:28.20
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Marko:16.15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Marko:16.16
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Marko:16.17
Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
Marko:16.18
watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Matayo:24.14
Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
Ieleweke kwamba yeyote amuaminiye Kristo hawezi kutenda uovu
Sijui alikuwa anaishi vipi,lakini bila shaka maisha yake yaliharibika, alihukumiwa na kupelekwa gerezaniYule kwani alikuwa mfanyakazi? Alisimamishwa kazi?
mimi mbona nimeshachana nyingi tu na maisha yanaendelea , kwako ndio cha maana kwa wengine ni upumbavu tusilazimishaneHakuna mtu anaefanya alitakalo kuna sheria zinatuzuia kufanya lolote tulitakalo.
huwezi kusikia mchungaji anakimbilia mafuta ya upako.wehu tu wanayakimbilia nakisha kufa kwa kukanyaganaHawa wanadanganywa sana,kama wangejiongeza hata kidogo tu,wasengukubali kusikiliza huo upupu wanaoaminishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaendelea kubweka kama jibwa jikemaongezi yako yapo romantic sana...vipi una buti linamzigo?mana ndio ugonjwa wangu
Acha vitisho wewe Mungu mwenyewe katulia wewe kiherehere cha nini ?Kitabu ambacho hakichanwi, au kukifanyia udjalilishaji mbele ya jamii, namba moja duniani inashikiliwa na quraan"
Maeneo mengine kufanya hivo ni sawa na kujitangazia kifo!
Kwenye quraan (bila kutaja kifungu) mwenyezi mungu alisema"( astaghafiru)"
Kupitia mtume wake.
S.A.W...."Nimewaachina dini yenu muilinde, lakini kitabu changu nitakilinda mimi"
Ukifanya maovu kwenye kile kitabu, hata kama hujakamtwa, uombe tu polisi wakuchukue ukakae eneo salama"
Sent using Redmi Y2
Utakatifu wa kitabu hauko katika makaratasi , yale makaratasi tu ndio maana ata waganga wanayatumia
mimi mbona nimeshachana nyingi tu na maisha yanaendelea , kwako ndio cha maana kwa wengine ni upumbavu tusilazimishane
hujaonekana mbele ya watu jifiche tu hukohuko.nakuhakikishia kama utafanya jambo hilo mbele yangu itakuwa mwisho wa uhai wako na mie gerezani nitapelekwamimi mbona nimeshachana nyingi tu na maisha yanaendelea , kwako ndio cha maana kwa wengine ni upumbavu tusilazimishane
Wa morogoro mmemtafuta kamanda wa polisi ndio amisaidie , wacha kujivimbia kwenye keyboard wewe ahahahahahujaonekana mbele ya watu jifiche tu hukohuko.nakuhakikishia kama utafanya jambo hilo mbele yangu itakuwa mwisho wa uhai wako na mie gerezani nitapelekwa
Kama unaweza Muua mwenzako kisa QURAN au BIBLE imechanwa , basi wewe ni TAHIRA, yaani Mungu atulie wewe ndio uwe kiherehereYou need to think out of the box. Ukiangalia huyu jamaa aliechana QUR-AN nae pia si ndio alikuwa analazimisha watu wasiamini dini nyengine zaidi ya dini anayoiamini? Umeshindwa kuona kuwa kitendo chake kinaweza kuanzisha umwagaji wa damu? Labda huna kumbukumbu kubwa lakni kuna sehemu nyingi duniani watu wameuana kwa sababu iliyoanza na mtu kuchana au kuchoma bible au Qur-an. Ugomvi huwa unaanzishwa na mtu mmoja tu na watu huanza kupandisha ghadhabu na kuanza kuumizana, Tanzania hatuhitaji hili. Kila mtu ana dini yake, hakuna haja ya kutukanana au kudhauriana dini zetu.
kasema nani??Si ndio mnavyosema