Kuna kanuni za maadili kwa mtumishi wa umma. Hizo zitamuondoa unless athibitike ni mgonjwa
Hebu leta kile kitabu chetu cha mahaba nikichanechane afu tukalale zetu polisi...
Bado unaendelea kuonyesha tabia za jibwa jikenaamini umeuelewa mziki,ntapenda ile cr7 uniwekee
Acha porojo kijana hizo tambo za nyuma ya keyboardtusibishane kama ww unaona huyo jamaa yupo sahihi kwanini kanyimwa dhamana?hakimu na waliomzunguka wanajua hilo jambo ni balaa kwa uhai wake bora wamtunze kwanza korokoroni.japo akipatikana mtaani tutamalizana nae kimya kimya
Katiba ya nchi ni kwa watanzania wote ,lakini QURAN au BIBLE ni kwa ajili ya vigenge vya watu , hivyo haina tatizo kama ukichana maana kwako ni upuuzichukua katiba ya tanzania jikusanye na wenzako wakurekodi video kisha chana hizo karatasi ambazo ni katiba ya nchi.au chukua bendera ya taifa la tanzania ichanechane kishasema hiki kitambaa ni mavi tu ni takataka tu.utakachokipata utajua
Aiseee!Kama unaweza Muua mwenzako kisa QURAN au BIBLE imechanwa , basi wewe ni TAHIRA, yaani Mungu atulie wewe ndio uwe kiherehere
Mimi naona wangempotezea tu kwani hamna nakala nyingine za hiko kitabu hapo kilosa?
Katika Qur ani Hakuna Bibilia kuna Injili na Taurati.Alafu mkakopi maneno ya wahuni mkayaweka kwenye kitabu chenu?
Muuwe mwanaoPesa ni mali ya serikali na kuiharibu kunaathiri mzunguko wa fedha na uchumi kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ana miujiza gani sasa embu nionyeshe muujuza mmoja aliomtunuku mwamedi akaufanya?Nimekuambia binadamu wote tutaongea/jibu kwa lugha moja tu, nayo ni "Allughatil'arabiyyah lugha ya kiarabu" Hakuna cha kiingereza, kiyahudi, kihindi, kichagga wala mama yake na kiswahili. Hapo ulipo hujui kiarabu, ila utakapokufa na kuzikwa kuna maswali utakutananayo mule ndani, maswali yenyewe utaulizwa kwa kiarabu na kuyajibu kwa kiarabu hata kama huijui lugha automatically utaongea tu,,,Allah ni mjuzi zaidi!
Taurati = KiarabuKatika Qur ani Hakuna Bibilia kuna Injili na Taurati.
Injili haikuandikwa kaa ukijua hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenipenda au umependa picha?Naomba kuulaza hivi kwenye avatar ni wewe kweli
Na aliyechana Quraan hadharani na kufanya dhihaka ya wazi, alikuwa ana kiu ya kunywa pombe.Inae
Inaelekea una kiu ya kumwaga damu!
Hii sio sahihi.Nimekuambia binadamu wote tutaongea/jibu kwa lugha moja tu, nayo ni "Allughatil'arabiyyah lugha ya kiarabu" Hakuna cha kiingereza, kiyahudi, kihindi, kichagga wala mama yake na kiswahili. Hapo ulipo hujui kiarabu, ila utakapokufa na kuzikwa kuna maswali utakutananayo mule ndani, maswali yenyewe utaulizwa kwa kiarabu na kuyajibu kwa kiarabu hata kama huijui lugha automatically utaongea tu,,,Allah ni mjuzi zaidi!
Nimeuliza tu binti 1
Taurati ni nini?yesu alisema amekuja kutimiliza taurati.siyo kupunguza.kama kuuwa ni dhambi wewe unapata wapi uhalali wa kuhalalisha kuuwa?
Sielewi kiarabu aisee andika lugha ninayoweza kuielewa.Allah anasema "kuwa" inakuwa.
Kun fa ya kun.