Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Hii sio sahihi.
Ni maneno ya mtaani hayana ushahidi wazi kuwa lugha ya huko ni kiarabu.
Kumbuka kuwa Mungu ni mjuzi wa lugha zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taurati = Kiarabu
Torati = Kiswahili
Huu ni ujinga mnaofundishwa madrasa na hata katika swala za ijumaa, Injili ambayo haikuandikwa inapatikana wapi?
Yohana mbatizaji aliye mkuu kuliko manabii na mitume wote ulimwenguni aliandika habari za Kristo ninyi ni kina nani hadi mnapinga au mliwahi kumuona Kristo?
.
1. Ukiulizwa injili ni nini unaweza kujibu?
2. Ukiambiwa utaje vitabu vinavyounda Torati unaweza kuvitaja na viliandikwa kwa mara ya kwanza wapi?
kama hakuna Biblia mbona koran imekopi maandiko yake?
Ile video ukiitazama utajua kabisa jamaa dish limecheza na mvua inanyeshaHuyu bwana mdogo huenda akili hazipo sawa. Mie nashauri apimwe akili maana kwa usomi wake, mtumishi wa umma na eneo alilopo kuna walakini katika kichwa chake. Kajiaibisha yeye na wengine wanaomzunguka
Hivi kwann wanaoua nao wanakamatwa wakati kuna binadamu wengine kibao tu waliobakia.Mimi naona wangempotezea tu kwani hamna nakala nyingine za hiko kitabu hapo kilosa?
musa alipewa kitabu gani?kuuwa kwanza ni zambi?Taurati ni nini?
Wapi nimezungumza habari za kutaka kuua si wewe uliyeandika humu mara kadhaa kuwa unataka kumuua aliyechana likitabu?
tena wfungwa wengi wapo gerezani kwasababu ya wizi mda mwingine wa kuku kwani kuku hawapo wengine.hawa makafir hawajielewiHivi kwann wanaoua nao wanakamatwa wakati kuna binadamu wengine kibao tu waliobakia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona maswali yangu unayakimbia basi jibu hili tu Injili kama haikuandikwa basi iko sehemu gani na ikoje hiyo injili na nani aliyesema kuwa haikiandikwa miongoni mwa wanafunzi wa Kristo?Qur ani hijacopy Bibilia coz Qur an haiitambui Bibilia
Ndio maana nakuambia Taurati=Torati hauijui coz mnamezeshwa
Kajifunzeni kwanza Ujue Taurati ninini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama unaweza Muua mwenzako kisa QURAN au BIBLE imechanwa , basi wewe ni TAHIRA, yaani Mungu atulie wewe ndio uwe kiherehere
Kuua ni dhambi ndio.musa alipewa kitabu gani?kuuwa kwanza ni zambi?
Ukisema hivyo unakosea mkuu mbona Nabii Tito alikamatwa kwa kile alichokuwa anakifanya ina maana mungu wa wakristo alishindwa kumzuia Tito hadi polisi ndio iingilie?
Rejea kiapo cha maadili ya watumishi wa umma kipengele cha 11, kinasema hiviHii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi KABISAKiuhalisia Waziri Hakutakiwa kuliingilia hili swala, inaonyesha ni kwakiasi gani udini upo ndani ya viongozi wakati serikali inaimba kutokuwa na Dini.
#Bagwell
CORRECT,T-Bagwell,
Kakosea. Yeye ni kiongozi wa serikali na anapaswa kusimamia mambo ya kiserikali/kiutumishi. Je kama angachana Atlas au kamusi angesimamishwa kazi?
Ningeshauri huyo waziri acachane na hayo mabo yatakuja mchafua, vinginevyo, achukue kanzu na aende msikitini kuendesha mambo ya ibada aachane na kazi za serikali
Waislam na dini yao huwa wanashangazaWakristo hawakupoteza muda na huyo unaemtaja. U kristo una ethics zake na pia Mungu wa wakristo hapiganiwi na wanadamu anajipigania yeye mwenyewe kwa kumchangua mwanadamu awe kioo kwa wkati maalumu na akimaliza kazi aliyotumwa basi .
Mimi nashangaa sana badala ya kulipa wema kwa ubaya wao wanalipa ubaya kwa ubaya
Mkuu safuher labda hukunielewa, unamaanisha wapi uko?
Ana bahati sana hajauawa na waumini wa Kiislam, sifa nyingine za kijinga zinaponza sasa angalia anasimamishwa kazi.
Hii aione bibi yangu kipenzi FaizaFoxy
Mngemfanya nini?Ana bahati alikuwa amezungukwa na mabwege wakati akifanya upuuzi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumsimamisha kazi kunaondoa vipi kuuana? Tuache kutumia sheria ili kila mtu atumie busara! Bila shaka tutakuwa taifa la vichaa. Mimi nadhani kuzuia watu wasiuane ni kumkamata na kwenda kumhifadhi huko na hilo hatujalipinga.ukisema usubiri vifungu vya sheria na kushindwa kutumia akili/busara ndio unakuta watu wanauwana wenyewe kwa wenyewe Arusha huko.