Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

mimi mbona nimeshachana nyingi tu na maisha yanaendelea , kwako ndio cha maana kwa wengine ni upumbavu tusilazimishane
Hoja yangu ni kwamba kuna sheria ambazo zinatuzuia kufanya lolote tu tujisikialo kufanya hakuna mtu mwenye uhuru wa kufanya lolote tu.
 
Wakristo hawakumpuuza walikuwa wakimjadili sana humu na hadi polisi ikaingilia hilo suala kwa kumkamata na wakristo wakapongeza jeshi la polisi kwa maana alikuwa akiwakera na mahubiri yake.

Halafu kwenye biblia mbona yapo maandiko ambayo zilikuwa ni amri za kuuwa zilizotoka kwa Mungu na zilitekelezwa,labda useme huyo si Mungu wa wakristo unayemzungumzia hapa kwamba anajipigania mwenyewe hapiganiwi.
 
Mimi naona wangempotezea tu kwani hamna nakala nyingine za hiko kitabu hapo kilosa?
jaribu kuchoma bendera ya taifa,hgalafu waambie wakupotezee tu kwani haipo moja,wakilia sana waambie KWANI SHILINGI NGAPI
,nadhani tutapata mrejesho mapema sana.
 
jaribu kuchoma bendera ya taifa,hgalafu waambie wakupotezee tu kwani haipo moja,wakilia sana waambie KWANI SHILINGI NGAPI
,nadhani tutapata mrejesho mapema sana.
Relax kwanza mkuu kabla ya kufananisha vitu/mambo mbalimbali, yenye upembuzi yakinifu.
 
Relax kwanza mkuu kabla ya kufananisha vitu/mambo mbalimbali, yenye upembuzi yakinifu.
hangaika na maandishi tu,nakukumbusha tena,kachome bendera ya taifa halafu wakija waulize KWANI SHILINGI NGAPI .
 
Nguvu kubwa kupelekwa polisi na kuwekwa chini ya ulinzi kwa usalama wake? Au kuna sababu nyingine zaidi ya hiyo imetolewa?
Nyie MAGAIDI sasa mmepata sababu, hatushangai mkijilipua au kuwalipua watu kisa kuchanwa kohorani. Ndio zenu!
 
Ndiyo maana nikasema kukamatwa alistahili kabisa ila kufukuzwa kazi hapo atakuwa amekiuka taratibu ipi ya kazi
Hivi chief kwani amefukuzwa au amesamishwa? Ninavyoelewa kusimamishwa kuna uwezekano wa kuachishwa au kurejeshwa kazini.

Kusimamishwa sio kuachishwa

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ
[emoji377]
 
jaribu kuchoma bendera ya taifa,hgalafu waambie wakupotezee tu kwani haipo moja,wakilia sana waambie KWANI SHILINGI NGAPI
,nadhani tutapata mrejesho mapema sana.
Ila za Marekani na Israel mnachoma?
Oooo nimesahau huwa mnaziprint wenyewe na mnachoma wenyewe😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…