mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Kiukweli hata mimi nilivyokuwa mdogo hata kuigusa tu nilikuwa naiogopa.Huko kuchana kwenyewe ndio uchizi,wewe wataka uchizi upi,kichaa ndiye anayechana makaratasi ovyo..Mwenye akili sawa sawa,hawezi kuchana karatasi ovyo ila mkichaa,anaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika vzrNadhani ilikusudia kwamba kwakua Qur'an ni kitabu cha Mwenyezi Mungu basihatofurahishwa na kitendo cha kuharibu neno lake ( which is true) kwahivyo kwa wenye imani bado tunamini kuharibu vitabu vitakatifu utapatwa na madhara.
Taja hiyo sheria inayokataza mtu kuchana QURAN ?
Mtawatisha watumishi wa Uma sio sisi wauza magengeWewe chana,hadharani,halafu ukifika mwenye vyombo vya sheria,utajuwa ni sheria ipi,inayokuzuia kudharau imani za watu wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli hata mimi nilivyokuwa mdogo hata kuigusa tu nilikuwa naiogopa.
Tuliambiwa ukiichana tu papo hapo unakuwa chizi au unakufa ndio maana nikaiona kama kitu hatari.
Inabidi watu waelimishwe tu kuwa kiheshimiwe tu kama kitabu cha Imani ya waislam, hawana haja ya kujaribu. Ila nadhani waislam wanavyoikuza na kuongezea vitisho ambavyo sio halisi.
Watu wafundishwe kuchana Quran ni uchizi sio ukichana Quran utakufa au utakuwa mwehu Mara tu baada ya kuchana.
Mtawatisha watumishi wa Uma sio sisi wauza magenge
Hadharani wapi wakati tunachana kila siku ata kule china zilichanwa hadharani acheni kelele nyinyiHakuna kutishwa wewe chanya,hadharani.Wafikiri waislamu wajinga kutochana Biblia,wanajuwa kama ni kosa kisheria kufanya hivyo,ndio hutasikia kuna muislamu kachana Biblia.Kwenye nyumba za waislamu,zipo Biblia lakini zimehifadhiwa vizuri.Halafu lazima ujuwe familia nyingi za Tanzania,wamechanganyika,wapo wakristo na wapo waislamu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief ngoja tusubiri, maana tusijeongea tukaingiza ya uongo na kweli. Tusubiri serikali itasemaje juu ya hili.Unaposimamishwa lazima uwe umekiuka taratibu fulani za kazi. Sasa je hapo tujiulize yeye alikiuka taratibu ipi ya kazi. Yeye alistahili kukamatwa kwa kudharau dini ya wenzake na kuhatarisha amani na usalama .
Kama mwaposa mkutano wake umeua watu 14 na yuko nje kwa dhamana,basi hata kesi ya huyu chalii sio kubwa maana hata kuua yeye hajaua.Chief ngoja tusubiri, maana tusijeongea tukaingiza ya uongo na kweli. Tusubiri serikali itasemaje juu ya hili.
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Chief tukutane uzi pendwa kule, hawa wanaopost hizi wanatuhamisha "Nyumba choo"Kama mwaposa mkutano wake umeua watu 14 na yuko nje kwa dhamana,basi hata kesi ya huyu chalii sio kubwa maana hata kuua yeye hajaua.
dodge
Hahah daah nimecheka kichizi sikutegemea comment hii,ngoja nikamcheki Mrangi/Anasbo amepost nini kule mzee baba.Chief tukutane uzi pendwa kule, hawa wanaopost hizi wanatuhamisha "Nyumba choo"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Nimewapenda wote wewe na wakwenye avatar 😄
Hapo sawa.Hahah daah nimecheka kichizi sikutegemea comment hii,ngoja nikamcheki Mrangi/Anasbo amepost nini kule mzee baba.
dodge
Hii nchi dini zipo mkuu hakuna nchi ambayo hakuna dini. Halafu mkuu una tatizo unashindwa kuelewa kwamba wewe kutokuwa muumini wa dini au hata Mungu huo msimamo wako hivyo haukufanyi wewe kuwa akili kuliko wenye misimamo tofauti na wewe kwahiyo haina haja ya kutumia nguvu zako kuonesha wanaoamini dini ni kama wapumbavu tu na wewe ndio uko sahihi.Mambo yameanzia kwenye QUR'AN , nchi hii haina Dini , kuna sheria yeyote mtu akichana QURAN adhabu yake imeandikwa katika katiba ya nchi hii ?
Unalalamika nini wakati Mungu mwenyewe katulia huko ebu acha kiherehereHii nchi dini zipo mkuu hakuna nchi ambayo hakuna dini. Halafu mkuu una tatizo unashindwa kuelewa kwamba wewe kutokuwa muumini wa dini au hata Mungu huo msimamo wako hivyo haukufanyi wewe kuwa akili kuliko wenye misimamo tofauti na wewe kwahiyo haina haja ya kutumia nguvu zako kuonesha wanaoamini dini ni kama wapumbavu tu na wewe ndio uko sahihi.
Wewe kama unachana Qur'an we chana tu haina haja ya kubishana jambo wala hakuna wa kukusifu hapa.
Hadharani wapi wakati tunachana kila siku ata kule china zilichanwa hadharani acheni kelele nyinyi
Na kule walipokufa watu kwa Ebola walichana nini ? mnapenda kujiaminisha ujinga sana halafu unafikir ule ugonjwa unaangalia mtu ukijichanganya unao haubagui dini ahahahaha, ndio maana limekuwa janga la dunia na umesambaa kuhusu kuchana si umeona ata mtumishi kachana halafu yuko powah tu mlichofanikiwa ni kumpeleka Polisi tuChana wewe,usisemee wenzako.China wameonja joto ya jiwe.Na China walichana Biblia pia,waulize yanayowapata.Kitabu chochote cha dini usichane,sio Qur'an tu,hata Biblia,hata Gita cha wahindu nk..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyo Mungu hana uwezo wa kujitetea hadi kitabu cha maagizo yake kichanwe huku amekaa kimyaaa, halafu Jafo ambaye hakuwepo ndio amfukuze kazi na bado mahakama imhukumu kifungo!! Nadhani huyo ni mungu katili sana anayeruhusu mtu kuadhibiwa mara 2 kwa kosa moja. Sio haki.Ndo tayari sasa keshasimamishwa kazi na yupo mahabusu kesi tarehe 20 apigwe miaka yake ajifunze adabu. Kama mmechukia sana andamaneni mumsaidie.wapumbavu wakubwa nyie.
Kwenye ile video yule jamaa alikua anasema etitena wfungwa wengi wapo gerezani kwasababu ya wizi mda mwingine wa kuku kwani kuku hawapo wengine.hawa makafir hawajielewi