Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Unalalamika nini wakati Mungu mwenyewe katulia huko ebu acha kiherehere
Ungekuwa unaongea na Mungu mwenyewe basi maana humu JF hayupo Mungu ila unakuja humu ili kuongea na sisi na sisi ndio wa kukujibu sio Mungu,mimi silalamiki bali nakueleza tatizo lako.
 
Sasa Mungu ajitete kwa lipi? Mbona hii hoja ya kujitetea hata siielewi.
 
Ungekuwa unaongea na Mungu mwenyewe basi maana humu JF hayupo Mungu ila unakuja humu ili kuongea na sisi na sisi ndio wa kukujibu sio Mungu,mimi silalamiki bali nakueleza tatizo lako.
Kitabu cha Mungu kimechanwa halafu mwenyewe katulia wewe sheikh ubwabwa kiherehere cha nini kupeleka watu polisi
 
Mbona mmeona katukanwa na kitabu chake kimechafuliwa na mtu?? Mungu amwadhibu mtu huyo wala sio watu wamsulubishe
Kujitetea maana yake nini? Nataka kuelewa kwanza maana ya kujitetea.
 
Kitabu cha Mungu kimechanwa halafu mwenyewe katulia wewe sheikh ubwabwa kiherehere cha nini kupeleka watu polisi
Nani anatumia hicho kitabu we umemuona Mungu anatumia hicho kitabu au unawaona waislamu?
 
Hivi hapo kuna sheria yoyote ya kazi aliyokiuka. Mimi nadhani kukamatwa ni sawa ila kusimamishwa kazi inahusianaje na hilo tukio. Lazima viongozi wetu wawe wanaangliq sheriq zaidi badala ya utashi wao binafsi
Bangi za wapi umevuta mkuu? Bora ungepinga kukamatwa na si kusimamishwa kazi, jafo kamsimamisha kazi kwakuwa jamaa ana kesi ya kujibu, sheria za kazi za tz ukiwa na kesi tu lazima usimamishwe kazi hata kama kesi ya kuiba kitumbua
 
Sasa mbona wakristo humu wanapigizana kelele kwa kuchanwa qur an? Kuna verse huko kwenye vitabu vya dini enasema"enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga"
Watakuwa wamerogwa. Quran itabaki pale pale, kilichoharibiwa ni makaratasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…