ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Hao mabwege ndio waliomkabidhi kitabu na kumwambia achaneAna bahati alikuwa amezungukwa na mabwege wakati akifanya upuuzi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mabwege ndio waliomkabidhi kitabu na kumwambia achaneAna bahati alikuwa amezungukwa na mabwege wakati akifanya upuuzi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unaongea na Mungu mwenyewe basi maana humu JF hayupo Mungu ila unakuja humu ili kuongea na sisi na sisi ndio wa kukujibu sio Mungu,mimi silalamiki bali nakueleza tatizo lako.Unalalamika nini wakati Mungu mwenyewe katulia huko ebu acha kiherehere
Sasa Mungu ajitete kwa lipi? Mbona hii hoja ya kujitetea hata siielewi.Kama huyo Mungu hana uwezo wa kujitetea hadi kitabu cha maagizo yake kichanwe huku amekaa kimyaaa, halafu Jafo ambaye hakuwepo ndio amfukuze kazi na bado mahakama imhukumu kifungo!! Nadhani huyo ni mungu katili sana anayeruhusu mtu kuadhibiwa mara 2 kwa kosa moja. Sio haki.
Mungu wako ahukumu kwa haki. Kwa nini asimpasue hilo domo lake au aukate huo mguu hata kwa ajali au huo mkono ulemae?? Tungeogopa kukichezea hicho kitabu kitukufu
Mbona mmeona katukanwa na kitabu chake kimechafuliwa na mtu?? Mungu amwadhibu mtu huyo wala sio watu wamsulubisheSasa Mungu ajitete kwa lipi? Mbona hii hoja ya kujitetea hata siielewi.
Mbona mmeona katukanwa na kitabu chake kimechafuliwa na mtu?? Mungu amwadhibu mtu huyo wala sio watu wamsulubishe
Kitabu cha Mungu kimechanwa halafu mwenyewe katulia wewe sheikh ubwabwa kiherehere cha nini kupeleka watu polisiUngekuwa unaongea na Mungu mwenyewe basi maana humu JF hayupo Mungu ila unakuja humu ili kuongea na sisi na sisi ndio wa kukujibu sio Mungu,mimi silalamiki bali nakueleza tatizo lako.
Kujitetea maana yake nini? Nataka kuelewa kwanza maana ya kujitetea.Mbona mmeona katukanwa na kitabu chake kimechafuliwa na mtu?? Mungu amwadhibu mtu huyo wala sio watu wamsulubishe
Nani anatumia hicho kitabu we umemuona Mungu anatumia hicho kitabu au unawaona waislamu?Kitabu cha Mungu kimechanwa halafu mwenyewe katulia wewe sheikh ubwabwa kiherehere cha nini kupeleka watu polisi
Bangi za wapi umevuta mkuu? Bora ungepinga kukamatwa na si kusimamishwa kazi, jafo kamsimamisha kazi kwakuwa jamaa ana kesi ya kujibu, sheria za kazi za tz ukiwa na kesi tu lazima usimamishwe kazi hata kama kesi ya kuiba kitumbuaHivi hapo kuna sheria yoyote ya kazi aliyokiuka. Mimi nadhani kukamatwa ni sawa ila kusimamishwa kazi inahusianaje na hilo tukio. Lazima viongozi wetu wawe wanaangliq sheriq zaidi badala ya utashi wao binafsi
Kakashifu iman ya wengine, kisheria tanzania ukikashifu imani ya wengine ni kosaShusha munkari sheikh kosa lake ni lipi?
Kumbe QURAN sio kitabu cha Mungu tena ?Nani anatumia hicho kitabu we umemuona Mungu anatumia hicho kitabu au unawaona waislamu?
Inamaana hujui kwanini Afghanistan imechafuka?Afghanistan imechafuka japo asilimia 99 ya waumini wake ni dini moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah haya bwanaNimewapenda wote wewe na wakwenye avatar [emoji1]
Vipi naruhusiwa kuja pm kwa mchakato zaidi 😋
Ungekuwa mjuvi ungedadavua hiyo sheria basi, wenzako wameleta kifungu kilichosababishwa awekwe ndani, nawewe leta kifungu kitakachomuokoa
Sasa mbona wakristo humu wanapigizana kelele kwa kuchanwa qur an? Kuna verse huko kwenye vitabu vya dini enasema"enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga"
Hata hao waliomtia ndani wamefanya walitakalo,Ujinga mtupu yaani kuna kitabu kisichochanwa duniani ? huwezi mzuia mtu kufanya atakalo jamani tubadilike
Yesu alikuta hekalu la bwana limegeuzwa soko unajua nini alifanya? Kwanini hakumuacha bwana afanye yake? Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?Kwamba Bora wamkamate kulio Al lah kumpa adhabu
Interesting!
Watakuwa wamerogwa. Quran itabaki pale pale, kilichoharibiwa ni makaratasi.Sasa mbona wakristo humu wanapigizana kelele kwa kuchanwa qur an? Kuna verse huko kwenye vitabu vya dini enasema"enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga"
Hivi yule jamaa chuki aliyoionesha dhidi ya kitabu cha waislam unadhani ataweza kuwahudumia vizuri waislam watakaoenda kupata huduma yake kwenye hiyo ofisi ya umma?Watakuwa wamerogwa. Quran itabaki pale pale, kilichoharibiwa ni makaratasi.
Sent using Jamii Forums mobile app