Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

WaooW.. Kaka mpendwa ndg raia mwenzangu Karibu hapo umenena maneno asilimia kubwa ushaingiza mguu mmoja ktk Uisalamu ..Amini usiamni Hakuna mambo ya jambia wala kutukana ktk uislam.. hizo uzisikiazo na jazba binafsi na Samahani kusema DMP (Daily Media Propagandas) Nakuhakikishia kuna Amani na ridhaa ya nafsi hutoipata kokote...
Kesho kutwa April tunapokea Mwezi mtukufu wa RAMADHANI nawe utahakikisha... Tafadhwal karibu ktk dini yenye DEMOKRASIA pana na huru. (hata ukitaka wake 4 utapatiwa..muhimu uwe vizuri)
Sio propaganda ameandika Hawachi nduguyo katika imani mwanzo mwa uzi
 
Qur'an imetetemshwa kwa lugha ya kiarabu, na hata kaburini na siku ya hukumu tutaulizwa kwa lugha ya kiarabu. Na sio kiswahili, kikurya, kiingereza wala lugha yoyote ile.



Wazungu wamewapotosheni nyie viumbe 😂😂
Sasa manabii na mitume wote wa kale kabla ya ujio wa mwamedi na dini yake watajibu kwa lugha gani?
 
Pesa ni mali ya serikali na kuiharibu kunaathiri mzunguko wa fedha na uchumi kwa ujumla.
Ebu chukua noti ya 1000 uliyo itafuta kwa nguvu yako alafu nenda mbele ya kituo cha polisi kaichane, au kanunue bendera ya taifa nenda kaichome moto ili tukuone ushujaa wako wa kutetea upuuzi uko wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Injili ni nini?
Nani alikuambia injili ina mapungufu?
Unaweza kuleta injili isiyo na mapungufu?
Wagalatia ni watu gani?
Muislamu hawezi chana injiri katu,sababu tunatambua uwepo wake licha ya mapungufu ila kimetoka kwa allah.tatizo watu wengi ktk wagalatia hawana elimu ya kitabu hicho wanacho jinasibisha nacho kuwa chakwao,na pia hawatambui historia za mitume walikuja vipi na kwampangilio upi.ndio maana haishangazi kiongozi wa kigaratia kula nguruwe au waumini kunywa pombe na wala hawaoni kama nikosa. Huyo hakuwa wakupeleka gerezani unapoona mmea mbaya unachipua ktk mimea ilio nafaida usahihi ni kuuondoa ule mbaya ndio lugha yakueleweka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana amekamatwa akapambane na sheria za nchi kwa mujibu wa katiba, Sasa amaesimamishwa kazi kwa sababu gani wakati tukio alilofanya halihusiani na kazi yake? Kwa mfano, je, mbunge akikamatwa kwa sababu ya uvunjifu wa amani spika humfukuza bungeni?
Tena afukuzwe kabisa

Unachotetea Ni upuuzi tu
 
Sio propaganda ameandika Hawachi nduguyo katika imani mwanzo mwa uzi
Shukran ndg D'Witt J.. karibu sana ktk hii multi Nation. FYI mwenyeezi Mungu ndiye aliyetuumba sote na kutupa viungo sawiya na Ndimi(ulimi) tunazungumza na kuelewka hivyo Mtukufu Mungu husikia lugha na lafudhi zote, nae ndiyo mwenye haki na uaamuzi akitakacho na kumpa amtakae.!!
Hayo yasikupe homework... Be in peace.
 
Ni logiki rahisi sana kuelewa ila wengi wao wana wenye vichwa vigumu kuelewa au wamelewa dini chakari.
Unachanganya kwa mifano isiyoendana fedha na bendera ya taifa ni alama za taifa, sheria inasema hivyo ukichana au kudhalilisha ni kosa kisheria. Hii ni kwamujibu wa civics tuliyofundishwa form one.
Sasa vitabu vya dini na vingine vyote havina sheria inayolazimisha mtu avitunze kikubwa asichafue mazingira akiwa anavichoma au kuvichana.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa staili hii unadhani kuna mtu ataacha kuuita uislamu ni ugaidi?
Unadhani mimi nitashawishika kuwa muumini wa imani hiyo ambayo Mungu wake hawezi kujitetea?
Mungu wako anaejitetea yuko wapi?hatuangamii kwa sababu ya mafuta sisi.baki hukohuko kwenye mungu wako anaejitetea,hatukushawishi uje huku kwa mungu asiyejitetea.Majina yote unayoona yanafaa kuyaita ita tu uislam utabaki pale pale.ila mkileta za kuleta ni mwendo wakujilipua tu
 
Matayo:26.51
''Na tazama, mmoja wao waliokuwa pamoja na Yesu akanyosha mkono wake, akaufuta upanga wake, akampiga mtumwa wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio.
Matayo:26.52
Ndipo Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake, maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga''
Huyo kijana hamjui Mungu wa kweli. Hakika vita vyetu sio vya kimwili bali kiroho.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako, kwa wengine ni vitabu nyambari nyangwine.
Kuna kitu kinaitwa Ethical issues amevuja maadili jamii lazma, uheshimu dini nyingine hata kama wewe sio muumini wa dini hiyo.
kile kitabu sio kama vile vya nyambari nyangwine, au riwaya na tamthilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom