Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Hakuna jibu la jazba labda kama wewe ulileteHahhahahahaha hahahahahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona majibu ya jazba yameanza watu washavurugwa ndugu yangu muuliza swali watu hawapendi ujinga hahaah
Hahaha me nmeuliza tu mdau labda style mpya yeye kajuaje si kama mdogo mdogo Ile ana tetemekaHahhahahahaha hahahahahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona majibu ya jazba yameanza watu washavurugwa ndugu yangu muuliza swali watu hawapendi ujinga hahaah
Aah, huyo jamaa itakuwa amezubaa anashangaa mataaHahahahahah! Kuna mtu kule yupo nimempa formula nzuri tu sijui nini kinamshinda..
Mkuu ngoja niokoe jahazi fasta fasta.. Haiwezekani tuaibike hiviMkuu The bold Hakikisha ile tuzo tunaiiba kwa njia yoyote ile...
Na hili ndo litakuwa tukio la kuwafunika akina D.B Cooper
Na nature ya wabongo pia kumwona kapiga hatua so jealous hata kupiga kura ikawa ni issue sana. Hizi timu nazo ni jangayaani diamond alikuwa na watu wachache sana wa kumpigia kura maana tanzania ametengeneza magroup kibao
team wema
team kiba
team hamisa
uganda kaharibu kamtukana ivan
kenya zari kawatukania huda wao plus wanampenda kiba
Hapa tunamzungumzia aliyeperform, Psquare tuwaweke kando.Wewe kama ungekuwa umelipia kiingilio kuona show ya muziki ungekuwa umeridhika na ulichokiona?Ila hakukamilika as PSquare hawakuwemo, so kajitahidi. Au?
Hahaha pole kiongozi kwani si kutetemeka ni style tu au kama kwenye mdogo mdogoMkuu umefanya nicheke kwa sauti ,et style mpya
hapa maombi mwakan tuwarogemshana jr Kama utashindwa kuwaroga MTV basi usituletee tena stori za uganga....
haiwezekani taifa linateketea alafu nyie mupo mumetulia tu...
Watu mnalalamika sijui team kiba, wema, joketi upuuzi mtuupu (platnumz alichukua mtv EMA na timu hizo hizo plus timu lowasa) , ila wasanii watanzania wajitahidi watoe album naona international wanatizama sana album kuliko single, la sivyo watafeli na hizi timu zinaeffect kila upande usizan zinaeffect tu upande wa DAI.
Mkuu Umebeti nini? Naona hii homa siyo ya kawaida kabisa.Aah, huyo jamaa itakuwa amezubaa anashangaa mataa
hatupendagi ujinga sisiππππTena ikiwezekana mods wampige ban