Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Labda Artist of the year wamPe Nassibu Abdul.Oyaaaaaaa!! Kama watu hamuelewi kinachoendelea pigeni kimya.. Mnaanza kuandika barua za maombolezo sijui tanzania tumeambulia patupu sijui nini nini..
Bado category mbili!
Leo lazima tung'are aisee..
I agree with youHongereni kwa nomination there is always next time msife moyo watz
Tulishaambiwa tufyatue watu hawakuelewahiyo hayupo wizkid kweli kama yupo tumeikosa tena ...tunabd watanzania tuzae sanaa nigeria wapo watu milion 900+ sisi tupo mil 45+ tutawashinda kweli
yes ni beat chorus, au ulitaka mpaka uone magitaa..chorus ndo play back kwenye verse tambaa live,diamond akifanyiwa hivyo hali itakuwa mbayaAlikiba kaimba live?
Ningekuwa na yai viza ningemrushia Diamond usoni....Hapa tunamzungumzia aliyeperform, Psquare tuwaweke kando.Wewe kama ungekuwa umelipia kiingilio kuona show ya muziki ungekuwa umeridhika na ulichokiona?
Yeeaa tena kisuperstaaAlikiba kaimba live?
Category mbili zipi tena!?Oyaaaaaaa!! Kama watu hamuelewi kinachoendelea pigeni kimya.. Mnaanza kuandika barua za maombolezo sijui tanzania tumeambulia patupu sijui nini nini..
Bado category mbili!
Leo lazima tung'are aisee..
Ingekuwa ni muziki wa live kama anaopigiwa wizkid hapo si ndio angejiharishia kabisaJapokuwa Ali Kiba hajapata Tuzo ila ameimba vizuri...Ametendea haki mashabiki...
Daimond alikuwa anatetemeka kama ana schizophrenia ya mdomo..Play back ya CD ipo mbele yeye na sauti ya mitetemeko yupo nyuma....Aliniudhi sana...
Ameng'ang'ana na kucheza....Sikuelewa Diamond ni yupi na Dancers ni wapi...Ni vurugu tupu.....
MTV awards japokuwa wasanii wetu hawajashinda ila Ali Kiba kafunika...
wizkid yupo vzur sanaaIngekuwa ni muziki wa live kama anaopigiwa wizkid hapo si ndio angejiharishia kabisa
Hahaha wewe mtu si mzima yani nimecheka kwa nguvu hadi nimeamsha watuNingekuwa na yai viza ningemrushia Diamond usoni....
Is the worst performance I've ever seen kwa mtu anayesifiwa kila kona ya nchi