MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

ndo tofauti ya dancer na singer,si umeona sauti sol na ali kiba walivyoimba????au huwezi judge mwenyewe
Pale ni jukwaani! They are neither singing nor dancing. It is all about perfoming
 
Reactions: me1
Watu wachache tunaoujua muziki hatuwezi kustand kutetea upuuzi kwa sababu ya utaifa.Ali ana udhaifu wake sehemu zingine but vocally + musically yuko hatua kadhaa mbele kwa diamond.
Kweli tupu...Na hili nimelithibitisha leo kwenye hizi Tuzo...
 
Finally tumechukua tuzo kubwa zaidi kwa usiku huu...Ally kiba artist of the year...tumeondoka na 1.
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…