Hahahahah Elfu Hamsini ileeeeeeeNgoja tusubiri hii ya mwisho
Ngoja kili music award tutakutag au zile za eatvNgoja nilale mondi akishinda ni-tag.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti manfongo anasauti nzuri kuliko diamond umenifanya nicheke kwa sauti afu usiku huu unajuaMkuu, tumekusikia, tumekuelewa.. Man fongo ana sauti nzuri kuliko mondi!
Kama hauna update kuhusu tuzo nyingine imeenda kwa nani just chill..
Mi itakuwa mchawi asee....Maana nimefurahi sana diamond kukosa tuzo....Wacha nitafute matunguri tu nikamilishe mamboNo way out ila inauma mbongo kutofulai mafanikio ya mwenzako
Eti kufulai ashindwe so sad ukisikia uchawi ndo huo
Unasumbuliwa na huba wewe hautaki kukubaliana na ukweli, hiyo miunk ya wakina werrason huwa nk ziada ila ubora wao wa uimbaji huwa uko palepaleWabongo bwana mngekuwa mnangaliaga KORA awards miaka ya nyuma (show ya werrason, felix wazekwa au academic, extra musica hawa wote hawakuwa na time ya kuimba miuno tu kwenda mbele) ungeelewa kwa nn diamond kwa nn kafanya vile na ndio maana BET Africa wamesalute to him
Hahahah.... Ila kusema ukweli Dai kazid yan angepata tungekomaaaaaaMi itakuwa mchawi asee....Maana nimefurahi sana diamond kukosa tuzo....Wacha nitafute matunguri tu nikamilishe mambo
Ngoja nishushe neti tulaletulale sasa
Acha kujifariji kwa ujinga wewe! Yale hayakuwa mashindano ya kuimba bali ni tukio la kukabidhi tuzo! Ule utumbuizaji ni kusindikiza hizo tuzo kwahiyo kwamba eti hata kama hakupata tuzo lakini kaimba vizuri ni ule ule ujinga wa kwenye soka yetu; mtu katolewa lakini utasikia wametolewa kiume!Japokuwa Ali Kiba hajapata Tuzo ila ameimba vizuri...Ametendea haki mashabiki...
Daimond alikuwa anatetemeka kama ana schizophrenia ya mdomo..Play back ya CD ipo mbele yeye na sauti ya mitetemeko yupo nyuma....Aliniudhi sana...
Ameng'ang'ana na kucheza....Sikuelewa Diamond ni yupi na Dancers ni wapi...Ni vurugu tupu.....
MTV awards japokuwa wasanii wetu hawajashinda ila Ali Kiba kafunika...
kweli mkuu diamond hawezi kushinda hizi tuzo maana hapa bongo ana kura chache sana nadhani ni wakati wa kujifunza kuweka muziki wake mbali na mapenziNdio ubaya wa kura (Demokrasia) namba zinaamua
Mbona Kenya Congo na Angola wamechukua tuzo acheni umbeya na kulalamika aiseeKukosa kwetu wala sio tatizo ila jina la hizi tuzo liwe south africa and nigeria mtv awards..
Tufanye hata ya kifuta machozi jamani yani naona hela inaenda hivi hivi[emoji25]Hahahahah Elfu Hamsini ileeeeeee