MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Sio mbaya angeshinda wangesema amehonga[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu, tumekusikia, tumekuelewa.. Man fongo ana sauti nzuri kuliko mondi!

Kama hauna update kuhusu tuzo nyingine imeenda kwa nani just chill..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti manfongo anasauti nzuri kuliko diamond umenifanya nicheke kwa sauti afu usiku huu unajua
 
Wabongo bwana mngekuwa mnangaliaga KORA awards miaka ya nyuma (show ya werrason, felix wazekwa au academic, extra musica hawa wote hawakuwa na time ya kuimba miuno tu kwenda mbele) ungeelewa kwa nn diamond kwa nn kafanya vile na ndio maana BET Africa wamesalute to him
Unasumbuliwa na huba wewe hautaki kukubaliana na ukweli, hiyo miunk ya wakina werrason huwa nk ziada ila ubora wao wa uimbaji huwa uko palepale
 
Japokuwa Ali Kiba hajapata Tuzo ila ameimba vizuri...Ametendea haki mashabiki...

Daimond alikuwa anatetemeka kama ana schizophrenia ya mdomo..Play back ya CD ipo mbele yeye na sauti ya mitetemeko yupo nyuma....Aliniudhi sana...

Ameng'ang'ana na kucheza....Sikuelewa Diamond ni yupi na Dancers ni wapi...Ni vurugu tupu.....

MTV awards japokuwa wasanii wetu hawajashinda ila Ali Kiba kafunika...
Acha kujifariji kwa ujinga wewe! Yale hayakuwa mashindano ya kuimba bali ni tukio la kukabidhi tuzo! Ule utumbuizaji ni kusindikiza hizo tuzo kwahiyo kwamba eti hata kama hakupata tuzo lakini kaimba vizuri ni ule ule ujinga wa kwenye soka yetu; mtu katolewa lakini utasikia wametolewa kiume!
 
Back
Top Bottom