google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Mungu aepushe kupoteza mtoto aiseee inauma sana polen wazazi waliopata misiba hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seat belt kwa dereva au abiria wa nyuma,Poleni sana wazazi wa watoto walioaga dunia. Gari imejichokea ndo inafanywa School bus haina hata seat belt
Mzee hapo utakimbiaje?? Gari haikuwa speed, huku nina kiwanja ni sehemu mbaya sana, barabara ni mbovu na ina makorongo sana. Huwezi kimbiza gari hata uwe dereva gani.Aiseee ila yaonesha alikuwa speed sana....
Nawaonea huruma wazazi, ndugu na jamaa za marehemu
Mungu awape ujasiri
Hii haijakaa poa mkuu, mfano tukiwatoa ccm na vifo vikatokea utasema nn?Hii ni kutokana na Sera mbovu za Chama cha mapinduzi, kuwa na miundombinu mibovu ya barabara pamoja na kuruhusu uingizwaji wa magari mabovu pale bandarini, vifo vyote hapa bongo ccm ndosababu
Binafsi pia...R.I.P kwa malaika wote waliopoteza maisha. Huwa najisikia vibaya sana nikisikia mtoto ameaga dunia tena kwa uzembe
Swadakta!إنا لله وإنا إليه راجعون
Kila nafsi itaonja umauti, atakaebakia ni Allah pekee
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki
Point mkuuHili swala la gari za shuke inabidi serikali ianze kukagua magari yanayopereka watoto wetu, am sure watapata zaidi ya 80 nibmabovu na hayafai kuingi barabarani,
Kwa uzoefu wangu, naonaga wamiriki wa shule huwa wanaenda gereji kutafuta gari la kufufua na wamekuwa wakipata gari na tair zake hukohuko, ni shida sana