MTWARA: Basi la Shule ya King David lapata ajali, watu 10 Wamefariki na wengine 19 Wakijeruhiwa baada ya gari 'kufeli breki'

Mkuu,japo inahuzunisha ila ajali zote chanzo chake ni uzembe.Ajali unaweza sababisha/sababishiwa au chombo chenyewe.
Lakini chanzo kikuu ni uzembe.
DAH! POLENI WATOTO WETU NA WAZAZI WENZETU
 
Aiseee ila yaonesha alikuwa speed sana....
Nawaonea huruma wazazi, ndugu na jamaa za marehemu
Mungu awape ujasiri
Mungu atusaidie. Ndo una watoto wa wawili wanasoma shule moja..
 
Kwa hesabu hapo gari aina ya hice ilibeba watu wapatao 29.Ni hatar sana.Polen wafiwa.
 
Poleni sana, Mungu awafariji wafiwa wote.
 
Hii habari bora hata vyombo vya habari visiirushe kwenye taarifa ya HABARI USIKU italeta TAHARUKI NA HOFU MIOYONI
Taharuki ipi wakati mitandao isharusha mapema
 
May God find the resting place for them! Gone too early little angels!
 
Kupoteza mtoto inauma sana.mungu awafariji....alafu ma school bus yasasa ni mabovu mno
 
RTO wa Mtwara akamatwe awekwe ndani.
Kwanini ameruhusu Hiace ya watu 15 kubeba abiria Mara mbili ya uwezo wake.
RTO anakula mshahara wa bure kabisa la sivyo atuambie mwenye shule hua anampa sh ngapi kila mwezi ili gari isikamatwe?
Mama ameambiwa kwamba gari ilikua na watu 29? Na hakuna aliyevaa mkanda?
 
inahuzunisha pole nyingi kwa wafiwa ,hivi hili ni bas au ni hiace na imewezaje kubeba abilia 29 maana wamekufa 10 majeruhi 19 jumla 29 inashangaza
 
Ndizo hizi picha zinazolalamikiiwa na RC au kuna nyingine? Kwa sababu hizi naona ni picha za kawaida za ajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…