Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

Alikuwa mfanyabiashara kweli? Huo ni upande wa pili wa shilingi. Hawa polisi walifanya unyama sana
Hata Kama hakuwa mfanya biashara kweli kwa Nini wampore hela.zake? Wakajua atawashtaki wakaamua kutoa roho kabisa kupoteza ushahidi
 
@SuluhuSamia
anza na IGP ZIRO maana huyu ndio kiini cha matatizo yote hii ni kutokana na kudekezwa na MEKO. hawa wamejisahau wanajiona kama wao ni miungu
 
Polisi wengi ni wezi sana, wahusika wawajibishwe
 
Pascal hawezi kukusaidia chochote hana jipya tena
we usimzelewu huyu jamaa ni jiniaz anajua kila kitu ila ni kama anaGUNDU mana haonekani kabisa kwa uongozi
 
sio lazima ivunjwe yote yaani unaondoa tu vile vichwa vibovu vilivyopinda vilivochoka. afu unaweka vichwa vipya na mambo yatakwenda sawa
 
kwani kesi ya mbowe imeishaje?
Kama alijichanya mwenyewe ulitaka nimtetee vipi?
unaanza vipi kumtafuta mwanajeshi akutafutie walinzi?
Mbowe alijua urio atawatoa wapi hao walinzi?
KATAA UNYUMBU
Mjinga ww kwenye kesi ya ugaidi ya mbowe ulikuwa kinyaa
 
Kama mbowe alikosea TUSEME UKWELI alikosea
Unaweza kuniambia urafiki wa mbowe na urio ulikuwa unahusu Nini?
zimekutwa calls,sms na miamala ya simu ya mbowe kwenye simu ya urio unaweza kutolea ufafanuzi?
"UWE NA AKILI HURU"
JIFUNZE KUHOJI
Hakika, huyu jamaa mjingamimi naona kweli ni mjinga. Issue ya Mbowe na makomandoo, aliwatetea sana Kingai na kundi lake la kijambazi. Labda sasa ameujua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…